Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
Daah kaka nikama umenipa nguvu mpya __ubarikiweAchana kwanza na habari za “Kijana wa kimaskini”.
Haya maisha hayataki kutia huruma Mkuu, jiamini na ujikubali kwanza usijishushe hivyo.
Kujiita maskini tayari unazuia bahati zako. Amini wewe ndio mkombozi mwenyewe.
Yeah ndio hivyo mkuu,. Tuishi tu kwa akiliHiko ndo kinanichanganya zaid nakunifanya nitulize kichwa
Kaka hio ni sahihi ila ukifanya hivyo kazi ndo utakosa kabisa__kuna mafundi vunja beiInabidi ubadilishe mfumo, kwanzia sasa kupiga hesabu pia ni kazi, usipige hesabu bure.. angalau mtu akilipia gharama za hesabu ata asipokupa mchongo mzima, usibaki na lawama
Siku zanyuma ilikua tunafanyaga hivi ila now days kwaupande wakazitu hakuna boss wakumlipisha hela yakumpigia hesabu yakazi yakeInabidi ubadilishe mfumo, kwanzia sasa kupiga hesabu pia ni kazi, usipige hesabu bure.. angalau mtu akilipia gharama za hesabu ata asipokupa mchongo mzima, usibaki na lawama
We mwenyeo ulikua unaumwa hpa ukaja kutafuta faraja kwa wana jf kma hiviNjoo na laki nikupeleke kwa mtalamu usafishwe nyota😬😬
Yeah ni kweli,.We mwenyeo ulikua unaumwa hpa ukaja kutafuta faraja kwa wana jf kma hivi
Utafanikiwa mkuu ondoa shaka,. Ni suala na muda na kujikubali kwanza ndipo uanze kufuata ushauri,. Nimeona kuna mtu kakushauri pia uwe unafanya vipimo kwa malipo na sio bure,. Note itLazima unyonge niwe nao_mana sina pakuanzia ili kuukataa huo unyonge
Niko dareslaamUtafanikiwa mkuu ondoa shaka,. Ni suala na muda na kujikubali kwanza ndipo uanze kufuata ushauri,. Nimeona kuna mtu kakushauri pia uwe unafanya vipimo kwa malipo na sio bure,. Note it
By the way unapatikana mkoa gani??,,. Niko na deal na aluminum’s pia naweza kukupa mawazo kidogo kama utahitaji
Huko sina experience nako,.Niko dareslaam
Kama hutojali unaweza nicheki PM_naon yakwako umeifungaUtafanikiwa mkuu ondoa shaka,. Ni suala na muda na kujikubali kwanza ndipo uanze kufuata ushauri,. Nimeona kuna mtu kakushauri pia uwe unafanya vipimo kwa malipo na sio bure,. Note it
By the way unapatikana mkoa gani??,,. Niko na deal na aluminum’s pia naweza kukupa mawazo kidogo kama utahitaji
NAKAZIANjoo na laki nikupeleke kwa mtalamu usafishwe nyota😬😬
okKama hutojali unaweza nicheki PM_naon yakwako umeifunga
😂😂😂🙌NAKAZIA
Kwanini huyo mtaalamu asijisafishe kwanza yeye apate laki mbili ili amfanyie huyu mdau bure ?Njoo na laki nikupeleke kwa mtalamu usafishwe nyota😬😬