Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
Achana kwanza na habari za “Kijana wa kimaskini”.
Haya maisha hayataki kutia huruma Mkuu, jiamini na ujikubali kwanza usijishushe hivyo.
Kujiita maskini tayari unazuia bahati zako. Amini wewe ndio mkombozi mwenyewe.