Nina degree ya IT, natafuta kazi yoyote nipo DSM

Unaweza kutengeneza Whatsap chatBot ambayo itakuwa iko integrated na local payment (Mpesa, Halopesa, Airtel Money, Tigo Pesa).

Kama ndio, gharama zako ni bei gani?
 
Mimi ni muhitimu wa degree ya IT na biashara niliyohitimu mwaka 2020 katika chuo kikuu mzumbe kampasi kuu morogoro, nina uzoefu na mambo ya IT. Ni mkazi wa dar es salaam.

Ninaomba mwenye fursa ya kunisaidia kupata kazi ya aina yoyote nipo tayari kuifanya naomba wakuu tusaidiane kwa mawasiliano zaidi namba ni hizi 0656058186/ whatsapp 0627781186
Mungu akutangulie
 
Unaweza kutengeneza Whatsap chatBot ambayo itakuwa iko integrated na local payment (Mpesa, Halopesa, Airtel Money, Tigo Pesa).

Kama ndio, gharama zako ni bei gani?
Sheria za fedha na Mifuno ya Fedha ilivyo, sijui kama ni rahisi kiasi hiko.

Sina uzoefu lakini
 
Mimi ni muhitimu wa degree ya IT na biashara niliyohitimu mwaka 2020 katika chuo kikuu mzumbe kampasi kuu morogoro, nina uzoefu na mambo ya IT. Ni mkazi wa dar es salaam.

Ninaomba mwenye fursa ya kunisaidia kupata kazi ya aina yoyote nipo tayari kuifanya naomba wakuu tusaidiane kwa mawasiliano zaidi namba ni hizi 0656058186/ whatsapp 0627781186
Kila kheri ndugu.....jifunze kufanya Certifications zinasaidia sana IT plsin mnajuaga story tu....CCNA and CNNP...Dbase..Oravke etc....programming....pia ungekuwa unaweza hand on za microwave installations ....au fiber instalkations zina deal ISP kibao mjiniii hapa.....hands on....hakuna vyeti unapewa equipment unafanya.......
 
Back
Top Bottom