Nina Diploma ya Civil Engineering, natafuta kazi

Nina Diploma ya Civil Engineering, natafuta kazi

Habari,

Nina Diploma ya Civil Engineering natafuta kazi nipo Dar es salaam, naitaji kazi za site ili niweze kuwa vizuri zaidi

Pia ni mtaalamu wa Autocad na Archicad pia vingi nimeandika kwenye CV yangu. Msaada mwenye connection yoyote anisaidie ili nami nipate ujuzi zaidi wa kazi
Mzee umezunguka kampuni zote za ujenzi huko kwenu umekosa?

Saizi miradi iko mingi kila sehemu kwa nini usiende huko?
 
Kijana acha kujifungia ndani aisee

Wewe Technician unatafuta kazi na site zimejaa,

Au unataka uambiwe njoo uanze kazi
Hata mimi namshangaa,Tulikuwa tuna struggle kazi zama za Jiwe sio Saizi..

Ila kingine Wenye mamlaka ya kusimamia kazi za serikali hawatilii maanani takwa la kisheria na kimkataba la kila kampuni kuwa na mtaani wakati WA kutengeneza mradi.
 
Back
Top Bottom