Nina Diploma ya Civil Engineering, natafuta kazi

Mzee umezunguka kampuni zote za ujenzi huko kwenu umekosa?

Saizi miradi iko mingi kila sehemu kwa nini usiende huko?
 
Kijana acha kujifungia ndani aisee

Wewe Technician unatafuta kazi na site zimejaa,

Au unataka uambiwe njoo uanze kazi
Hata mimi namshangaa,Tulikuwa tuna struggle kazi zama za Jiwe sio Saizi..

Ila kingine Wenye mamlaka ya kusimamia kazi za serikali hawatilii maanani takwa la kisheria na kimkataba la kila kampuni kuwa na mtaani wakati WA kutengeneza mradi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…