MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
Wewe unataka kua nani?Nimechaguliwa UDOM kusoma bachelor of science in physics.
Nimejaribu kufuatilia naona kama sio ualimu ila wakati nafanya application nilidhani ni education.
Naombeni mnishauri cha kufanya wakubwa zangu.
Ata sielw yn
Kabadili usome bachelor of science in aquaculture and aquatic science uwe hata afisa uvuviKwa pale UDOM vipi koz gani unanishaur?
Somea pesa maana unaonekana hushauriki.Awee sasa si bora kama ni kazi ambayo sijasoma nianze saiv nisiendelee na chuo
Wewe unataka kufanya kazi fulani tu ukimaliza chuo au?
Kuna mengi duniani muhimu ndio kujua malengo yako, au kusoma na baadae usome masters ndio ufate kile haswa unataka kufatilia.
Kwa sasa unaweza kusoma masomo hayo na ukaishia kufanya kazi haukufikiri utaifanya, ila cheti kuwa una degree ndio ikakubeba na ukapaa sana.
Pia anakushauri soma online uliza Mr gugo maswali inayo kichwani uone maoni ya wengine huko. Kidunia
SI hata cbg anasoma aseeKabadili usome bachelor of science in aquaculture and aquatic science uwe hata afisa uvuvi
Hadi kufika kidato cha siku hukuwahi kujitafuta na kujua ni career gani inakufaa?Sa nishauri vya kueleweka basi hujui kama nashida ase
Nimesoma udom na watu wa phyiscs najua ninachokushauriKidunia sio
SI hata cbg anasoma asee
Una smart phone, ingia google tafuta links mbalimbali si kuuliza as mwanafunzi wa kidato cha piliNilikua napiga education sana sana tution mpk sasa najitolea shule ila sasa watu wanasema mbaya ndo mama natafuta nyingine ya maana sasa
Sasa katika colege yako hapo Cnms hapo udom koZi zenye afadhali ni ya statistic na aquatic zilibaki zingine ni za kisiasa zaidi maana hapo hauendi ku specializeSawa lakini hiyo kozi hapana
Tanzania ni developing country so physicists hawaitajiki sana sasa hivi. Watu waliosoma science watahitajika sana in the future.
My advice: soma physics bachelor’s udom halafu apply for masters au phd USA. Ukipata shule kila kitu wanakulipia. Ukiosoma physics USA unaweza kufanya kazi Silicon Vatha
BS physics majors will graduate with the knowledge of classical mechanics, electromagnetism, quantum mechanics, thermal physics/ statistical mechanics and other topics expected for a professional physicist. Kwa Tanzania lazima uwe mwalimuNimechaguliwa UDOM kusoma bachelor of science in physics.
Nimejaribu kufuatilia naona kama sio ualimu ila wakati nafanya application nilidhani ni education.
Naombeni mnishauri cha kufanya wakubwa zangu.
Ni ngumu sana .option ni mbili kubadili course au kwenda kufata udahili ili u apply upya mwakanHIvI NIkIOMB ku unconfirm inawezekana?