Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haitakusaidia kitu mkuu nina 3.4Em tuone
Kuna jamaa alisoma pcm alipata 1.7 kila mtu alijua jamaa anaenda coet, tulishangaa dakika za mwisho akabadili gia angani akaenda kusoma BAF. Hivi nnavoandika hapa ni cpa holder na anafanya kazi na kampuni kubwa ya uhasibu hapa Tz.DUH uhasibu hapan kwakweli
Sasa hiyo aweze pokelewa sehemu huyo anaangukia ualimu tuSoma hio nzuri sana
Physics ndio baba lao,
Ukienda ualimu unaenda kujitia umasikini
Soko hakuna kwa hiyo kozi maana jinsi inavyotolewa ni ovyo inakuwa kama Education tuHaina ias
Vipi kuhusu soko baada ya kuhitimu brother
Kwan iyo akimaliza ndo atapata ajira kirahisi ivo tena huko ndo kupotea kabisa mana halmashaur nzima anahitajika mmoja sema ukilata shavu ushatoboa kweliKabadili usome bachelor of science in aquaculture and aquatic science uwe hata afisa uvuvi
Acha kabisa hiyo kozi, utajuta maisha yote. Hata ualimu usiombe. Omba kozi za afya kama medicine au nursing.Nimechaguliwa UDOM kusoma bachelor of science in physics.
Nimejaribu kufuatilia naona kama sio ualimu ila wakati nafanya application nilidhani ni education.
Naombeni mnishauri cha kufanya wakubwa zangu.
Diploma miaka motatu Electrical Engineering ukimaliza unakua Full Technician (FTC) ukipata gpa 3.0 unaweza unga degree ukasoma kozi yeyote unayotaka ya engineering ila am telling huwez kosa kazi ila kipindi unasoma iyo kozi ukiskia short course zile za d.i.t km refregeration soma zinasaidia sana kozi ya refrigeration haifundishwi d.i.t kwa sababu mechanical engineer wanafundishwa ila hawaji ifanyia practical manake ni module tu yakawaida ila moja ya course marketable kwa sasa si kwamba mafundi hawapo wa refrigeration wapo ila shule changamoto wengi veta sana sana ila ukitulia moja ya soma zuri sana kutoboa niko kwenye hiyo industry naona gepu japo professional yangu Electrical engineering kwa sasa am doing Refrugeration patamu sana hukuSa hiyo engineer ni ya cheti gani form four aw
Nitajie basi mwana fizikia mmoja
Iyo kozi bora uapply police tuNimechaguliwa UDOM kusoma bachelor of science in physics.
Nimejaribu kufuatilia naona kama sio ualimu ila wakati nafanya application nilidhani ni education.
Naombeni mnishauri cha kufanya wakubwa zangu.
Degree yake ni miaka mingapi?Diploma miaka motatu Electrical Engineering ukimaliza unakua Full Technician (FTC) ukipata gpa 3.0 unaweza unga degree ukasoma kozi yeyote unayotaka ya engineering ila am telling huwez kosa kazi ila kipindi unasoma iyo kozi ukiskia short course zile za d.i.t km refregeration soma zinasaidia sana kozi ya refrigeration haifundishwi d.i.t kwa sababu mechanical engineer wanafundishwa ila hawaji ifanyia practical manake ni module tu yakawaida ila moja ya course marketable kwa sasa si kwamba mafundi hawapo wa refrigeration wapo ila shule changamoto wengi veta sana sana ila ukitulia moja ya soma zuri sana kutoboa niko kwenye hiyo industry naona gepu japo professional yangu Electrical engineering kwa sasa am doing Refrugeration patamu sana huku
3 yearsDegree yake ni miaka mingapi?
Hivi ukiwa chuoni huwezi kuhama kwenye chuo kingine na ukabadilisha koz baada ya kuhama?Acha kabisa hiyo kozi, utajuta maisha yote. Hata ualimu usiombe. Omba kozi za afya kama medicine au nursing.
Kama huna interest na afya omba kozi za Engineering chuo cha DIT au vingine. Hakuna Engineer mtaani asiye na issue.