Nina Division Two ya point 10 (PCB)

Nina Division Two ya point 10 (PCB)

DUH uhasibu hapan kwakweli
Kuna jamaa alisoma pcm alipata 1.7 kila mtu alijua jamaa anaenda coet, tulishangaa dakika za mwisho akabadili gia angani akaenda kusoma BAF. Hivi nnavoandika hapa ni cpa holder na anafanya kazi na kampuni kubwa ya uhasibu hapa Tz.

Usidharaubkozi zilizo chini ya regulatory body mfano afya, engineering, architecture, qs, pharmacy! Kozi hizi huwa na pesa sana ukipata upenyo.
 
Nimechaguliwa UDOM kusoma bachelor of science in physics.

Nimejaribu kufuatilia naona kama sio ualimu ila wakati nafanya application nilidhani ni education.

Naombeni mnishauri cha kufanya wakubwa zangu.
Acha kabisa hiyo kozi, utajuta maisha yote. Hata ualimu usiombe. Omba kozi za afya kama medicine au nursing.

Kama huna interest na afya omba kozi za Engineering chuo cha DIT au vingine. Hakuna Engineer mtaani asiye na issue.
 
Sa hiyo engineer ni ya cheti gani form four aw
Diploma miaka motatu Electrical Engineering ukimaliza unakua Full Technician (FTC) ukipata gpa 3.0 unaweza unga degree ukasoma kozi yeyote unayotaka ya engineering ila am telling huwez kosa kazi ila kipindi unasoma iyo kozi ukiskia short course zile za d.i.t km refregeration soma zinasaidia sana kozi ya refrigeration haifundishwi d.i.t kwa sababu mechanical engineer wanafundishwa ila hawaji ifanyia practical manake ni module tu yakawaida ila moja ya course marketable kwa sasa si kwamba mafundi hawapo wa refrigeration wapo ila shule changamoto wengi veta sana sana ila ukitulia moja ya soma zuri sana kutoboa niko kwenye hiyo industry naona gepu japo professional yangu Electrical engineering kwa sasa am doing Refrugeration patamu sana huku
 
Nimechaguliwa UDOM kusoma bachelor of science in physics.

Nimejaribu kufuatilia naona kama sio ualimu ila wakati nafanya application nilidhani ni education.

Naombeni mnishauri cha kufanya wakubwa zangu.
Iyo kozi bora uapply police tu
 
Tafuta koz nyingine za afya huku uko Africa Tanzania acha kusomea ushaidi kuwa umefika chuo
 
Diploma miaka motatu Electrical Engineering ukimaliza unakua Full Technician (FTC) ukipata gpa 3.0 unaweza unga degree ukasoma kozi yeyote unayotaka ya engineering ila am telling huwez kosa kazi ila kipindi unasoma iyo kozi ukiskia short course zile za d.i.t km refregeration soma zinasaidia sana kozi ya refrigeration haifundishwi d.i.t kwa sababu mechanical engineer wanafundishwa ila hawaji ifanyia practical manake ni module tu yakawaida ila moja ya course marketable kwa sasa si kwamba mafundi hawapo wa refrigeration wapo ila shule changamoto wengi veta sana sana ila ukitulia moja ya soma zuri sana kutoboa niko kwenye hiyo industry naona gepu japo professional yangu Electrical engineering kwa sasa am doing Refrugeration patamu sana huku
Degree yake ni miaka mingapi?
 
Acha kabisa hiyo kozi, utajuta maisha yote. Hata ualimu usiombe. Omba kozi za afya kama medicine au nursing.

Kama huna interest na afya omba kozi za Engineering chuo cha DIT au vingine. Hakuna Engineer mtaani asiye na issue.
Hivi ukiwa chuoni huwezi kuhama kwenye chuo kingine na ukabadilisha koz baada ya kuhama?
 
Chuo kikifunguliwa wahi mapema UDOM Kuna fursa ya kubadili kozi.
Kama sikosei miaka iliyopita ilikuwa unalipa 300 kubadili
 
Back
Top Bottom