Nina Division Two ya point 10 (PCB)

Nina Division Two ya point 10 (PCB)

Ata sielw yn

Wewe unataka kufanya kazi fulani tu ukimaliza chuo au?

Kuna mengi duniani muhimu ndio kujua malengo yako, au kusoma na baadae usome masters ndio ufate kile haswa unataka kufatilia.

Kwa sasa unaweza kusoma masomo hayo na ukaishia kufanya kazi haukufikiri utaifanya, ila cheti kuwa una degree ndio ikakubeba na ukapaa sana.

Pia anakushauri soma online uliza Mr gugo maswali inayo kichwani uone maoni ya wengine huko. Kidunia
 
Kidunia sio

Kabadili usome bachelor of science in aquaculture and aquatic science uwe hata afisa uvuvi
SI hata cbg anasoma asee
 
Hadi kufika kidato cha siku hukuwahi kujitafuta na kujua ni career gani inakufaa?
Nilikua napiga education sana sana tution mpk sasa najitolea shule ila sasa watu wanasema mbaya ndo mama natafuta nyingine ya maana sasa
 
Nilikua napiga education sana sana tution mpk sasa najitolea shule ila sasa watu wanasema mbaya ndo mama natafuta nyingine ya maana sasa
Una smart phone, ingia google tafuta links mbalimbali si kuuliza as mwanafunzi wa kidato cha pili
 
Sawa lakini hiyo kozi hapana
Sasa katika colege yako hapo Cnms hapo udom koZi zenye afadhali ni ya statistic na aquatic zilibaki zingine ni za kisiasa zaidi maana hapo hauendi ku specialize
 
Sasa katika colege yako hapo Cnms hapo udom koZi zenye afadhali ni ya statistic na aquatic zilibaki zingine ni za kisiasa zaidi maana hapo hauendi ku specialize
HIvI NIkIOMB ku unconfirm inawezekana?
 
Tanzania ni developing country so physicists hawaitajiki sana sasa hivi. Watu waliosoma science watahitajika sana in the future.

My advice: soma physics bachelor’s udom halafu apply for masters au phd USA. Ukipata shule kila kitu wanakulipia. Ukiosoma physics USA unaweza kufanya kazi Silicon Valley au hata kwenye stock market New York.
 
Thanks
Tanzania ni developing country so physicists hawaitajiki sana sasa hivi. Watu waliosoma science watahitajika sana in the future.

My advice: soma physics bachelor’s udom halafu apply for masters au phd USA. Ukipata shule kila kitu wanakulipia. Ukiosoma physics USA unaweza kufanya kazi Silicon Vatha
 
Nimechaguliwa UDOM kusoma bachelor of science in physics.

Nimejaribu kufuatilia naona kama sio ualimu ila wakati nafanya application nilidhani ni education.

Naombeni mnishauri cha kufanya wakubwa zangu.
BS physics majors will graduate with the knowledge of classical mechanics, electromagnetism, quantum mechanics, thermal physics/ statistical mechanics and other topics expected for a professional physicist. Kwa Tanzania lazima uwe mwalimu
 
Back
Top Bottom