Nina Division Two ya point 10 (PCB)

Nina Division Two ya point 10 (PCB)

Usifanye confirmation,apply upya ATC kuna civil&irrigation chukua hii,kama unapenda education soma physical education utanikumbuka.
 
Hata hiyo two wenda uliipata kwa kuibia.

Kweli pcb nzima unachagua kozi ambayo huijui?

Hata pale kcmc hujapata kozi yoyote?

KWa two yako ulishindwa hatakuomba building economics, architecture, geomatics, irrigation ya sua? Hata environmental engineering hukuona? Hata land valuation?

Hiyo phy ungekua uko USA au ulaya au asia ndio ningekuelewa.

Utapoteza muda kusoma vitu ambavyo hupendi uje uanze kutusubua badae.

Badilisha kozi kama haifai acha chuo uombe tena mwakani. Bora upoteze mwaka mmoja kuliko miaka3.
NImekugeti brother
 
Ingekua ivo si kila mtu angeomba alafu akipata nafasi aende kuchange achukue MD?

Kijana uneingia cha kike ilibidi ulete huu uzi kabla huja confirm. Hapo potezea chuo mwaka huu uombe tena mwakani.
Duuuuh
 
Back
Top Bottom