Nina Division Two ya point 10 (PCB)

Nina Division Two ya point 10 (PCB)

Physics ni hesabu dogo, kwenye wave na mechanics si mlikua mnatumia trig, intergration nk? Sasa huko chuo ndio utakuta hesabu zenyewe sasa. Mnachagua kozi ambazo hamjui kisa mmeona kwenye muvi. Kapambane
Aisee, kijana hajui huko anakutana na ma..
Fourier series
Partial differential equations
Ma Schrödinger equations
 
Omba quantity survey au architecture , Ardhi University .
KAma anapenda design akipata architecture atakua kaupiga mwingi.. hata akipata hiyo ya QS! Hizi ni kozi rahisi kujiajiri kama ukiwa smart kichwani na unapenda ulichosomea!

SHIDA NI kwamba hatakuelewa na usishangae akenda udom kusoma phy kisa tu anaona aibu kubaki nyumbani wakati wenzake wako chuo.
 
Bora abaki home kuliko kusoma kozi uchwara siziso na soko mtaani
 
Hizi course ziliwai zungumziwa Bungeni zifutwe kumbe baada zipo aisee... Bsc in Biology sjui in Chemistry na Physics ni Moja ya useless course. Kwa Tz hamna sehemu ambayo unaweza ajiriwa kwa hiyo course yako it's better ukasome education kuliko huu ujinga ni kupoteza mda tu.

Dogo nakushauri kabadilishe course kama unaenda chuo kutafuta degree Ili na wewe uonekane msomi sawa kaisome but if you're serious tafuta course marketable kama IT au Computer Science/ Computer Engineering, course ambazo zinaendana na mabadiliko ya Dunia.

Lastly jitahidi sana ukiingia chuo ule msuri hasa utoke na GPA ya maana tofouti na hapo utarudi kitaa na GPA yako ndogo uanze Kuwa winger wa kariakoo.

Kila la kheri.
 
Nashukuru sana 🙏🙏 brother
 
Naelew vizuri kabisa naomba kujua kazi ya kufanya ukisoma hizo kozi yaani labda unafanya kazi wapi
KAma anapenda design akipata architecture atakua kaupiga mwingi.. hata akipata hiyo ya QS! Hizi ni kozi rahisi kujiajiri kama ukiwa smart kichwani na unapenda ulichosomea!

SHIDA NI kwamba hatakuelewa na usishangae akenda udom kusoma phy kisa tu anaona aibu kubaki nyumbani wakati wenzake wako chuo.
 
Wee uliona wapi donor country ikapuuza science nd tecnology?
Israel kila leo inawanya yasa wapalestina kwa sababu ya hiyo tuu.
Sie tunanya yasika kwa sababu hiyo tuu hatuna watu wakutufanyia uvumbuzi
Jama Leo mbona unaongea nondo sana upwiru umeukata nini?
 
KAma anapenda design akipata architecture atakua kaupiga mwingi.. hata akipata hiyo ya QS! Hizi ni kozi rahisi kujiajiri kama ukiwa smart kichwani na unapenda ulichosomea!

SHIDA NI kwamba hatakuelewa na usishangae akenda udom kusoma phy kisa tu anaona aibu kubaki nyumbani wakati wenzake wako chuo.
Nimefanikiwa leo kuomba pale ardhi university vipi kuhusu competition brother ya hiyo kozi
Pia kuna vyuo nimeshindwa kucancell admissions hvi Haina effects? Kwenye application za dirisha la pili?
 
1. Ardhi kozi gani?

2. Pia kama possiblity ya kuomba omba aisee. Hamna kitu kibaya kama kuja kujuta badae.
 
Back
Top Bottom