Mtepa wa Mtepaza
Member
- Jun 8, 2021
- 5
- 6
Habari zenu wadau wa jamii forum, samahani, kiu yangu ni kufanya kazi nje hasa nchi ya Kanada na elimu yangu ni kidato cha nne kwa ufaulu wa division 3 nimemaliza mwaka 2015 masomo ya sanaa,kulingana na tafiti yangu ndogo nimeona wengi hupitia kwa njia ya masomo ili kufika huko
Je, kulingana na elimu yangu na ufaulu wangu naweza kupata scholarship ya kimasomo?naomba msaada wa kimawazo nahitaji kufika nje hasa bara Europe na America kupambana nipo tayari kufanya kazi yoyote hata kudekii vyoo ya halali tu.
Umemaliza form four 2015 Hadi Leo mbona umechelewa sana alafu kwa ufaulu huo ni ngumu sana tena kwa masomo ya sanaa, ila ungekuwa hata na diploma ya engineering yeyote ile ingekuwa rahisi hasa Scandinavian country kupata ufadhiliHabari zenu wadau wa jamii forum, samahani, kiu yangu ni kufanya kazi nje hasa nchi ya Kanada na elimu yangu ni kidato cha nne kwa ufaulu wa division 3 nimemaliza mwaka 2015 masomo ya sanaa,kulingana na tafiti yangu ndogo nimeona wengi hupitia kwa njia ya masomo ili kufika huko
Je, kulingana na elimu yangu na ufaulu wangu naweza kupata scholarship ya kimasomo?naomba msaada wa kimawazo nahitaji kufika nje hasa bara Europe na America kupambana nipo tayari kufanya kazi yoyote hata kudekii vyoo ya halali tu.
Mkuu nisaidie namna ya kupata scholarship katika nchi za Scandinavia........level ya master degreeUmemaliza form four 2015 Hadi Leo mbona umechelewa sana alafu kwa ufaulu huo ni ngumu sana tena kwa masomo ya sanaa, ila ungekuwa hata na diploma ya engineering yeyote ile ingekuwa rahisi hasa Scandinavian country kupata ufadhili
Master ya Nini Mkuu?Mkuu nisaidie namna ya kupata scholarship katika nchi za Scandinavia........level ya master degree
Hio mitihani ya ILETS ndio ipi mkuuIla nilizokuwa napata walikuwa wanaitaji uwe unaverification ya ENGLISH language kutoka mitihani ya ILETS pia na passport
Sasa unataka scholarship na hujui kuhusu hii mitihani??! Wewe achana tu na hizi habari za scholarship mkuu.Hio mitihani ya ILETS ndio ipi mkuu
Na verification unapataje ?
Na ni scholarships za nchi gani zinaitaji vigezo hivyo ?
Hauwezi kupata scholarship bila kufanya mtihani wa KiingerezaHabari zenu wadau wa jamii forum, samahani, kiu yangu ni kufanya kazi nje hasa nchi ya Kanada na elimu yangu ni kidato cha nne kwa ufaulu wa division 3 nimemaliza mwaka 2015 masomo ya sanaa,kulingana na tafiti yangu ndogo nimeona wengi hupitia kwa njia ya masomo ili kufika huko
Je, kulingana na elimu yangu na ufaulu wangu naweza kupata scholarship ya kimasomo?naomba msaada wa kimawazo nahitaji kufika nje hasa bara Europe na America kupambana nipo tayari kufanya kazi yoyote hata kudekii vyoo ya halali tu.
Hiyo ni mitihani ya proof of consistency in english language na kufanya hiyo mitihani fee yake si chini ya lak 5 au 6 kama sikosei na mara nyingi apa tz wanaenda kufanya ubalozi wa british.Kuhusu nchi gani zinataka almost ni karibu all english speaking countriesHio mitihani ya ILETS ndio ipi mkuu
Na verification unapataje ?
Na ni scholarships za nchi gani zinaitaji vigezo hivyo ?
Mkuu nisaidie namna ya kupata scholarship katika nchi za Scandinavia........level ya master degreeUmemaliza form four 2015 Hadi Leo mbona umechelewa sana alafu kwa ufaulu huo ni ngumu sana tena kwa masomo ya sanaa, ila ungekuwa hata na diploma ya engineering yeyote ile ingekuwa rahisi hasa Scandinavian country kupata ufadhili
Kilimo, Nina shahada ya kilimo mkuu.Master ya Nini Mkuu?