Mtepa wa Mtepaza
Member
- Jun 8, 2021
- 5
- 6
Habari zenu wadau wa jamii forum, samahani, kiu yangu ni kufanya kazi nje hasa nchi ya Kanada na elimu yangu ni kidato cha nne kwa ufaulu wa division 3 nimemaliza mwaka 2015 masomo ya sanaa,kulingana na tafiti yangu ndogo nimeona wengi hupitia kwa njia ya masomo ili kufika huko
Je, kulingana na elimu yangu na ufaulu wangu naweza kupata scholarship ya kimasomo?naomba msaada wa kimawazo nahitaji kufika nje hasa bara Europe na America kupambana nipo tayari kufanya kazi yoyote hata kudekii vyoo ya halali tu.