Nina elimu ya Kidato cha nne naweza kupata scholarship nchini Canada?

Joined
Jun 8, 2021
Posts
5
Reaction score
6
Habari zenu wadau wa jamii forum, samahani, kiu yangu ni kufanya kazi nje hasa nchi ya Kanada na elimu yangu ni kidato cha nne kwa ufaulu wa division 3 nimemaliza mwaka 2015 masomo ya sanaa,kulingana na tafiti yangu ndogo nimeona wengi hupitia kwa njia ya masomo ili kufika huko

Je, kulingana na elimu yangu na ufaulu wangu naweza kupata scholarship ya kimasomo?naomba msaada wa kimawazo nahitaji kufika nje hasa bara Europe na America kupambana nipo tayari kufanya kazi yoyote hata kudekii vyoo ya halali tu.
 
Unataka scholarship ili ukadeki vyoo??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Scholarship nyingi ni za masters, phd ..
Na bachelor Degree zipo ila upatikanaje wake sidhani kama ni mrahisi sana mkuu hasa kwa nchi uliyoitaja ..

lakini unaqeza kuendelea kupambana na wewe kwa kufanya tafiti kama hivi online..!

Nafikiri unahitaji Alevel au Diploma , ili kwenda Bachelor Degree
 
Habari zenu wadau wa jamii forum, samahani, kiu yangu ni kufanya kazi nje hasa nchi ya Kanada na elimu yangu ni kidato cha nne kwa ufaulu wa division 3 nimemaliza mwaka 2015 masomo ya sanaa,kulingana na tafiti yangu ndogo nimeona wengi hupitia kwa njia ya masomo ili kufika huko

Je, kulingana na elimu yangu na ufaulu wangu naweza kupata scholarship ya kimasomo?naomba msaada wa kimawazo nahitaji kufika nje hasa bara Europe na America kupambana nipo tayari kufanya kazi yoyote hata kudekii vyoo ya halali tu.
Habari zenu wadau wa jamii forum, samahani, kiu yangu ni kufanya kazi nje hasa nchi ya Kanada na elimu yangu ni kidato cha nne kwa ufaulu wa division 3 nimemaliza mwaka 2015 masomo ya sanaa,kulingana na tafiti yangu ndogo nimeona wengi hupitia kwa njia ya masomo ili kufika huko

Je, kulingana na elimu yangu na ufaulu wangu naweza kupata scholarship ya kimasomo?naomba msaada wa kimawazo nahitaji kufika nje hasa bara Europe na America kupambana nipo tayari kufanya kazi yoyote hata kudekii vyoo ya halali tu.
Umemaliza form four 2015 Hadi Leo mbona umechelewa sana alafu kwa ufaulu huo ni ngumu sana tena kwa masomo ya sanaa, ila ungekuwa hata na diploma ya engineering yeyote ile ingekuwa rahisi hasa Scandinavian country kupata ufadhili
 
Mkuu nisaidie namna ya kupata scholarship katika nchi za Scandinavia........level ya master degree
 
Enzi hizo nikisoma mkeka wangu wa matokeo naona kuna 8 saka scholarship saka na wewe daa🙈🙈
 
Ila nilizokuwa napata walikuwa wanaitaji uwe unaverification ya ENGLISH language kutoka mitihani ya ILETS pia na passport
 
Hio mitihani ya ILETS ndio ipi mkuu

Na verification unapataje ?

Na ni scholarships za nchi gani zinaitaji vigezo hivyo ?
 
Habari zenu wadau wa jamii forum, samahani, kiu yangu ni kufanya kazi nje hasa nchi ya Kanada na elimu yangu ni kidato cha nne kwa ufaulu wa division 3 nimemaliza mwaka 2015 masomo ya sanaa,kulingana na tafiti yangu ndogo nimeona wengi hupitia kwa njia ya masomo ili kufika huko

Je, kulingana na elimu yangu na ufaulu wangu naweza kupata scholarship ya kimasomo?naomba msaada wa kimawazo nahitaji kufika nje hasa bara Europe na America kupambana nipo tayari kufanya kazi yoyote hata kudekii vyoo ya halali tu.
Hauwezi kupata scholarship bila kufanya mtihani wa Kiingereza
 
Hio mitihani ya ILETS ndio ipi mkuu

Na verification unapataje ?

Na ni scholarships za nchi gani zinaitaji vigezo hivyo ?
Hiyo ni mitihani ya proof of consistency in english language na kufanya hiyo mitihani fee yake si chini ya lak 5 au 6 kama sikosei na mara nyingi apa tz wanaenda kufanya ubalozi wa british.Kuhusu nchi gani zinataka almost ni karibu all english speaking countries
 
Umemaliza form four 2015 Hadi Leo mbona umechelewa sana alafu kwa ufaulu huo ni ngumu sana tena kwa masomo ya sanaa, ila ungekuwa hata na diploma ya engineering yeyote ile ingekuwa rahisi hasa Scandinavian country kupata ufadhili
Mkuu nisaidie namna ya kupata scholarship katika nchi za Scandinavia........level ya master degree
Master ya Nini Mkuu?
Kilimo, Nina shahada ya kilimo mkuu.
 
Back
Top Bottom