Nina elimu ya Stashahada ya Uhasibu, naomba ajira

Nina elimu ya Stashahada ya Uhasibu, naomba ajira

Jacky880

Member
Joined
Jan 3, 2021
Posts
13
Reaction score
11
Mimi ni binti wa miaka 25 elimu yangu Diploma ya Uhasibu. Ninaomba ajira ndugu zangu Nina uzoefu na kazi hii kwa miaka 2.

Naishi Kibaha Mlandizi kazi popote nipo tayari 0628882267.
 
Nina konection Tena ya haraka na kazi unapata ila Ulipigia kura chama gani tuanzie hapo.
 
Acha upumbavu na ujuaji usiokuwa na msingi. Kama una nia ya kumsaidia bc fanya hvy

Vp akisema hajapiga kura.? Acha upumbavu mkuu
mbona unawashwa Sana na comment za wanaume unadhani niwewe peke yako umeona post yangu aisee not necessarily to comment hunijui huniwekei bando so acha kuwashwa washwa shoga wewe .
 
Mimi ni binti wa miaka 25 elimu yangu Diploma ya Uhasibu. Ninaomba ajira ndugu zangu Nina uzoefu na kazi hii kwa miaka 2. Naishi Kibaha Mlandizi kazi popote nipo tayari 0628882267.
Athumani unajibadili jinsia?
 
mbona unawashwa Sana na comment za wanaume unadhani niwewe peke yako umeona post yangu aisee not necessarily to comment hunijui huniwekei bando so acha kuwashwa washwa shoga wewe .
Wapo wengi wameona Post yako ila wakaidharau kutokana na upumbavu wako, imebidi mm nikuambie ukweli
 
Back
Top Bottom