Nina furaha sana Tanzania kutolewa kwenye mashindano ya CHAN

Mlalamikaji daily

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2014
Posts
1,018
Reaction score
2,366
Nina furaha sana..

Tanzania ingeshinda basi sisi wengine tusingepumua ..

Sifa zote angepewa mama..

Kila kona tungesikia mama mama...

Halafu sisiemu wangetumia pia hii kama karata yao kuongezea kwenye maigizo yao ya mwezi wa 10..

Asante Mungu..
Maombi yangu kila jambo ambalo wanasisiemu watatia hata kucha zao tu basi lifeli na kuharibika kabisa..

Nawaacha na wimbo wa Pole pole...
Kataa wahuni
 
Hata mimi ,maisha ni yangu ,mkisema sina uzalendo sawaa ,maisha ni yangu
 
images (5).jpeg
 
Nina furaha sana..

Tanzania ingeshinda basi sisi wengine tusingepumua ..

Sifa zote angepewa mama..

Kila kona tungesikia mama mama...

Halafu sisiemu wangetumia pia hii kama karata yao kuongezea kwenye maigizo yao ya mwezi wa 10..

Asante Mungu..
Maombi yangu kila jambo ambalo wanasisiemu watatia hata kucha zao tu basi lifeli na kuharibika kabisa..

Nawaacha na wimbo wa Pole pole...
Kataa wahuni
CHOCHOTE CHENYE WATU WA CCM NA WAHUNI KISIPATE KIBALI CHA MUNGU
 
Mwanamke anauwezo wa kuendesha mipasho/umbea tu. Kuendesha nchi mnamuonea tu.
 
Nina furaha sana..

Tanzania ingeshinda basi sisi wengine tusingepumua ..

Sifa zote angepewa mama..

Kila kona tungesikia mama mama...

Halafu sisiemu wangetumia pia hii kama karata yao kuongezea kwenye maigizo yao ya mwezi wa 10..

Asante Mungu..
Maombi yangu kila jambo ambalo wanasisiemu watatia hata kucha zao tu basi lifeli na kuharibika kabisa..

Nawaacha na wimbo wa Pole pole...
Kataa wahuni
Hapa nipo rough road naitafuta Bunju nipo HOIIIIIII. kiukweli Taifa Stars itabaki kuwa Timu yetu Samia atapita tuipende Timu yetu tupende Taifa letu.
 
Back
Top Bottom