Nina furaha sana Tanzania kutolewa kwenye mashindano ya CHAN

Nina furaha sana Tanzania kutolewa kwenye mashindano ya CHAN

Hapa nipo rough road naitafuta Bunju nipo HOIIIIIII. kiukweli Taifa Stars itabaki kuwa Timu yetu Samia atapita tuipende Timu yetu tupende Taifa letu.
Afadhali kimewashuka... Njooni mniteke sasa maana ndio kazi yenu
 
Nina furaha sana..

Tanzania ingeshinda basi sisi wengine tusingepumua ..

Sifa zote angepewa mama..

Kila kona tungesikia mama mama...

Halafu sisiemu wangetumia pia hii kama karata yao kuongezea kwenye maigizo yao ya mwezi wa 10..

Asante Mungu..
Maombi yangu kila jambo ambalo wanasisiemu watatia hata kucha zao tu basi lifeli na kuharibika kabisa..

Nawaacha na wimbo wa Pole pole...
Kataa wahuni
Hunishindi mimi kwa furaha hadi sasa naselebuka kwa jinsi majizi ya kura yalivyopokea mkong'oto
 
Nina furaha sana..

Tanzania ingeshinda basi sisi wengine tusingepumua ..

Sifa zote angepewa mama..

Kila kona tungesikia mama mama...

Halafu sisiemu wangetumia pia hii kama karata yao kuongezea kwenye maigizo yao ya mwezi wa 10..

Asante Mungu..
Maombi yangu kila jambo ambalo wanasisiemu watatia hata kucha zao tu basi lifeli na kuharibika kabisa..

Nawaacha na wimbo wa Pole pole...
Kataa wahuni
Inauma kushindwa kwa Taifa Stars. Lakini kwa hoja uliyoweka nakubaliana nawe
 
Nina furaha sana..

Tanzania ingeshinda basi sisi wengine tusingepumua ..

Sifa zote angepewa mama..

Kila kona tungesikia mama mama...

Halafu sisiemu wangetumia pia hii kama karata yao kuongezea kwenye maigizo yao ya mwezi wa 10..

Asante Mungu..
Maombi yangu kila jambo ambalo wanasisiemu watatia hata kucha zao tu basi lifeli na kuharibika kabisa..

Nawaacha na wimbo wa Pole pole...
Kataa wahuni
Siku wale watu ambao unataka watawale watatawala nchi na yatatokea mambo kama haya,na kuna watu watasema hivyohivyo usemavyo wewe.Muhimu ni kunyamaza tu na kuyaacha mambo yaende huku wewe ukipigania maisha yako
 
Back
Top Bottom