Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 1,018
- 2,366
Hata mimi ,maisha ni yangu ,mkisema sina uzalendo sawaa ,maisha ni yanguNina furaha sana..
Tanzania ingeshinda basi sisi wengine tusingepumua ..
Sifa zote angepewa mama..
Kila kona tungesikia mama mama...
Halafu sisiemu wangetumia pia hii kama karata yao kuongezea kwenye maigizo yao ya mwezi wa 10..
Asante Mungu..
Maombi yangu kila jambo ambalo wanasisiemu watatia hata kucha zao tu basi lifeli na kuharibika kabisa..
Nawaacha na wimbo wa Pole pole...
Kataa wahuni
AfadhaliHatimae timu ya ccm imetolewa🤣🤣
Kifo ni kifo tu mkuu kwa sauti ya mamaDaah sema 1 haijatosha. Wangefungwa hata kumi
CHOCHOTE CHENYE WATU WA CCM NA WAHUNI KISIPATE KIBALI CHA MUNGUNina furaha sana..
Tanzania ingeshinda basi sisi wengine tusingepumua ..
Sifa zote angepewa mama..
Kila kona tungesikia mama mama...
Halafu sisiemu wangetumia pia hii kama karata yao kuongezea kwenye maigizo yao ya mwezi wa 10..
Asante Mungu..
Maombi yangu kila jambo ambalo wanasisiemu watatia hata kucha zao tu basi lifeli na kuharibika kabisa..
Nawaacha na wimbo wa Pole pole...
Kataa wahuni
Hapa nipo rough road naitafuta Bunju nipo HOIIIIIII. kiukweli Taifa Stars itabaki kuwa Timu yetu Samia atapita tuipende Timu yetu tupende Taifa letu.Nina furaha sana..