Nina furaha sana Tanzania kutolewa kwenye mashindano ya CHAN

Hapa nipo rough road naitafuta Bunju nipo HOIIIIIII. kiukweli Taifa Stars itabaki kuwa Timu yetu Samia atapita tuipende Timu yetu tupende Taifa letu.
Afadhali kimewashuka... Njooni mniteke sasa maana ndio kazi yenu
 
Hunishindi mimi kwa furaha hadi sasa naselebuka kwa jinsi majizi ya kura yalivyopokea mkong'oto
 
Inauma kushindwa kwa Taifa Stars. Lakini kwa hoja uliyoweka nakubaliana nawe
 
Siku wale watu ambao unataka watawale watatawala nchi na yatatokea mambo kama haya,na kuna watu watasema hivyohivyo usemavyo wewe.Muhimu ni kunyamaza tu na kuyaacha mambo yaende huku wewe ukipigania maisha yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…