Nina habari njema kwa wasichana

Nina habari njema kwa wasichana

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Inakuwaje wanajamvi.

Hatimae imetimia. Practice makes perfect. After a painstaking effort, determination and genuine will six packs zimeanza kujitokeza.

Nimejituma sana kufanya mazoezi na imelipa.

Ninatangaza rasmi kwa madem hatimae nina six packs. Nawatangazia furaha viumbe hawa.

Am officially declaring permanent happiness to girls outside there.

2023-03-12 21.11.05.png
 
Mkuu kama hutojali share mazoezi uliokuwa unafanya kama ni gym au ya viungo kama push ups n.k na umefanya ndani ya mda gan,pia share picha before an after...maana na mm nimeanza mazoezi mwaka huu
 
Back
Top Bottom