Nina habari njema kwa wasichana

Nina habari njema kwa wasichana

Mkuu kama hutojali share mazoezi uliokuwa unafanya kama ni gym au ya viungo kama push ups n.k na umefanya ndani ya mda gan,pia share picha before an after...maana na mm nimeanza mazoezi mwaka huu
Mkuu wewe viga madevu mengi mengi hivo hivo kuna tunaopenda, achana na six packs 😀
 
Inakuwaje wanajamvi.

Hatimae imetimia. Practice makes perfect. After a painstaking effort, determination and genuine will six packs zimeanza kujitokeza.

Nimejituma sana kufanya mazoezi na imelipa.

Ninatangaza rasmi kwa madem hatimae nina six packs. Nawatangazia furaha viumbe hawa.

Am officially declaring permanent happiness to girls outside there.

View attachment 2870793
Tafadhali siku nyingine ukijinadi namna hii tunaomba na sisi mafisi utuonyeshe makalio huko nyuma. Kumbuka, uko mnadani hapa na mafisi tupo tunaangalia wapi pa kwenda kula.
 
Tafadhali siku nyingine ukijinadi namna hii tunaomba na sisi mafisi utuonyeshe makalio huko nyuma. Kumbuka, uko mnadani hapa na mafisi tupo tunaangalia wapi pa kwenda kula.
Sayngay
 
Back
Top Bottom