Nina hakika Rais Samia ana nia njema nasi ila hili la 29.10.2025 limechafua mno mnonga!

Nina hakika Rais Samia ana nia njema nasi ila hili la 29.10.2025 limechafua mno mnonga!

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Nina uhakika Samia hakuingia Ikulu kutuibia, lengo lake alete Maendeleo kwetu
ila ili la 29.10.2025 limechafua sana anga hata afanye nini sisi tumechagukwa mno mnonga
 
Mtu ameanza kuteka na kuua watu tangu aingie madarakani, hiyo nia njema alikuwa nayo lini? Hata kabla ya Oct 29, amedhihirisha ushetni wake mara nyingi sana. Alipomwua Ali Kibao akasema kifo ni kifo tu, akimaanisha watu wasishangae wala kushituka kwa maana atawaua watanganyika kwa njia hizo, hivyo wazoee. Huyu alionesha ni muuaji na mtu mbaya toka mwanzo. Mtu anadai kuunda tume kuchunguza kifo cha Ali Kibao, baadaye anasema kifo ni kifo tu! Ina maana hayo ndiyo yalikuwa majibu ya kamati ya uchunguzi aliyoiunda?
 
Ni a uhakika Samia HAIKUINGIA IKULU kutuibia lengo lake alete Maendeleo kwetu
Ila Ili la 29.10.2025 limechafua sana anga hata afanye Nini sisi tumechagukwa mno mnonga
Kuna watu hata Hitler, Idd Amin, Bokassa, Shetani bado ungewatetea na kusema walikuwa na nia njema, wanashauriwa vibaya.

Ungependa mpaka afanye nini zaidi
ujue dhamira ya moyo wake, kwamba ni mtu katili sana mwenye chuki kubwa dhidi kwa Watanganyika.

Unafikiri angeamua na kuamuru kufanya mauaji kama haya kama angekuwa Rais Zanzibar, nyumbani kwa Wazanzibari wenzake?
 
Back
Top Bottom