INAUZWA Nina hama nauza vitu vifuatavyo

Dadio

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
359
Reaction score
42
Habari wadau. Nauza vitu vifuatavyo kwan ninahamia mkoan. Vitu hivi vipo kmara Dsm.
SUMSUNG FLAT TV LCD 43 TSH 750 ,000 PAMOJA NA STAND YAKE.

Meza ya kioo bado nzuri tsh 100,000/-

Home thetre sony what 1000 tsh550000./-

Meza ya kula pamoja na vit vyake. Vit vyake vinne viwili vya kurekebisha ni vizur saana tsh 350,000/-

Masofa seti nzima yote nauzaa 800,000/- yaan mawil ya single moja double na la tatu la watu watatu. ni mazuri sana.

Picha hizo hapo chini
Nitafute nina sku chache hapa Dar 0713401812

i
 
Mkuu kiogwe uje inbox ndio maana nauza pamoja na stand yake
 
Kitu gan kinauzwa ghrama mkuu hapo
 
Kitu gan kinauzwa ghrama mkuu hapo
Humu wengi wanaanza maisha,bei zako ni nzuri sana kwamfano dinning table hiyo ni bei ya kuokota hata kama imetengenezwa kwa mbao za mwembe,mwarobaini au mkorosho achilia mbali mbao za mdizi.
Utapata watu wanaojua thamani ya samani.hapa wengi wanataka kununua kwa ela za boom.
 
Asante mkuu cox ww unaelewa. Mimi mwenyewe sijapenda kuuza sema ndio sina namna. Ntaanza upya tu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…