INAUZWA Nina hama nauza vitu vifuatavyo

INAUZWA Nina hama nauza vitu vifuatavyo

Mwenye uhitaji plz ani pm vitu vinaenda
 
Nyumbani kwako kuzuri umeoa
ameoa cheki hii picha vizuri
1484463506345-jpg.460160
 
Karibu uje uzichukue mkuu rayyounger
 
Hapana mkuu. Nitakupa kwa lak moja tu mkuu haina hata miez 4
 
Wakuu sofa na dinning table bado vipo karibun..
 
Humu wengi wanaanza maisha,bei zako ni nzuri sana kwamfano dinning table hiyo ni bei ya kuokota hata kama imetengenezwa kwa mbao za mwembe,mwarobaini au mkorosho achilia mbali mbao za mdizi.
Utapata watu wanaojua thamani ya samani.hapa wengi wanataka kununua kwa ela za boom.
Hata mimi nimeshangaa alivyosema bei kubwa
 
Wakuu hivyo vitu vinauzwa bei rahis mno. Hasa ukilinganisha na uhalisia wa sasa
 
Back
Top Bottom