wale wenzangu wapenda hiyo hapo chini naomba tutafutane ijumaaa hii.
kwa wale wasiotumia samahanini wote.
Hivi kwanini munamtania mungu namna hii?munakula vile alivyowazuia tu?
Soma maandiko vizuri wewe kwa wale wenzetu wameruhusiwa kula iwapo kutatokea baa la njaa na wakristo soma mwanzo imeandikwa nimewapa wanyama ili muwatawale chinjeni mle ila msinywe damu yake kwa vile ndio utambulisho wao kwa wale wapenda kisusio damu ya mnyama yeyote imeandikwa umsinywe ni najisi.
Umenitoa udenda hapa mkuu yaani we acha tu!wale wenzangu wapenda hiyo hapo chini naomba tutafutane ijumaaa hii.
kwa wale wasiotumia samahanini wote.
hapo upate na ka safari baridiiii!!! Kweli maisha matamu
Huogopi kifafa?