Nina hamu na hiki kitu sana.

Nina hamu na hiki kitu sana.

vivian

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,749
Reaction score
1,000
wale wenzangu wapenda hiyo hapo chini naomba tutafutane ijumaaa hii.

kwa wale wasiotumia samahanini wote.

DSC00212.JPG
 
Hivi kwanini munamtania mungu namna hii?munakula vile alivyowazuia tu?

Soma maandiko vizuri wewe kwa wale wenzetu wameruhusiwa kula iwapo kutatokea baa la njaa na wakristo soma mwanzo imeandikwa nimewapa wanyama ili muwatawale chinjeni mle ila msinywe damu yake kwa vile ndio utambulisho wao kwa wale wapenda kisusio damu ya mnyama yeyote imeandikwa umsinywe ni najisi.
 
Kule kwetu Tarakea mama akijifungua kisusio kwa sana.

Kuna kitu kinaitwa Mlaso. yaani mbuzi anatolewa damu akiwa hai kinatengenezwa kisusio.
 
Kwakweli vina wenyewe

Kama kawaida yako unaibukaga ijumaa tu!
 
Du du du!!!! Huyu nguruwe alikuwa bado mdogo wale wapishi wa mama kamche nadhani wambaka muda wake ulikuwa bado
 
Back
Top Bottom