Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Subiria wako anakujaWafupi na rangi ya maji ya maharage tunatengwa jamani. Punguza vigezo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiria wako anakujaWafupi na rangi ya maji ya maharage tunatengwa jamani. Punguza vigezo.
Kwa style hiyo ya kupika na kucheza singel hautompataUmri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawahi olewa. Dini ni kristo. Kitu ninachokipenda; napenda kupika na kucheza mziki. Situmii kilevi chochote.
Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea, awe mrefu mweupe au maji ya kunde, Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake, awe mkristo nitampenda na kumlinda daima.
Karibu kwa aliyependezewa na mimi.
Kama mahari utanilipia mi niko tayari kukuoaUmri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawahi olewa. Dini ni kristo. Kitu ninachokipenda; napenda kupika na kucheza mziki. Situmii kilevi chochote.
Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea, awe mrefu mweupe au maji ya kunde, Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake, awe mkristo nitampenda na kumlinda daima.
Karibu kwa aliyependezewa na mimi.
mm nina miaka 60 kamacunapendackucheza mziki na kupika tu basi uni PMUmri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawahi olewa. Dini ni kristo. Kitu ninachokipenda; napenda kupika na kucheza mziki. Situmii kilevi chochote.
Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea, awe mrefu mweupe au maji ya kunde, Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake, awe mkristo nitampenda na kumlinda daima.
Karibu kwa aliyependezewa na mimi.
Sasa miaka 60 bado unatafuta nini kwenye social media?mm nina miaka 60 kamacunapendackucheza mziki na kupika tu basi uni PM
0656328286Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawahi olewa. Dini ni kristo. Kitu ninachokipenda; napenda kupika na kucheza mziki. Situmii kilevi chochote.
Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea, awe mrefu mweupe au maji ya kunde, Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake, awe mkristo nitampenda na kumlinda daima.
Karibu kwa aliyependezewa na mimi.
Dhana ya kuonja kabla,itazame kwa mapana yake.Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawahi olewa. Dini ni kristo. Kitu ninachokipenda; napenda kupika na kucheza mziki. Situmii kilevi chochote.