SahihiNi kawaida kwenye umri wako kuwa na hofu kama hizo
Nashukuru sana mkuu, je kwa jumapili naweza kupataNenda kituo cha afya kilicho jirani,,, ulizia huduma za CTC, waombe PEP, ( post exposure prophylaxis) unapewa ARVs za mwezi,,,, unapiga hata kama vimepita unaclear mambo fresh,,,,, ila watakupima kwanza HIV…..
Usiogope mkuu mimi nina mwanangu yeye mke wake alikuwa known positive kuna siku alijichanganya akapiga bila kinga,,,, alitumia PEP…. yuko poa now.
Ni jumatatu hadi ijumaaa,,,, ila kama uko jirani mtafute mwana anaefanya kazi hapo,,, atakuunganisha na jamaa wa ctc, wanakuwaga na dawa hadi nyumbani wale…atakupa za kuanzia pia inatakiwa uanze ndani ya saa 72( siku tatu tangu exposure) the earlier the better….Nashukuru sana mkuu, je kwa jumapili naweza kupata
Duh kwahiyo toka jana ijumaa mpaka jumatatu si zitakua zimepita saa 72Ni jumatatu hadi ijumaaa,,,, ila kama uko jirani mtafute mwana anaefanya kazi hapo,,, atakuunganisha na jamaa wa ctc, wanakuwaga na dawa hadi nyumbani wale…atakupa za kuanzia pia inatakiwa uanze ndani ya saa 72( siku tatu tangu exposure) the earlier the better….
Does not make her a victimShe just a hook up girl, we met online