Nina hofu ya UKIMWI

Nina hofu ya UKIMWI

XII Tz

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2020
Posts
4,345
Reaction score
7,076
Habari wakuu

Jana niliruka na dem mmoja ambaye kiukweli simuamini hali yake kiafya, ofcourse tulitumia ndom ila katika kumshika shika baadae nilikuja kukumbuka kuwa nina kidonda kidogo kibichi ( open wound )kwenye kidole changu cha mkono wa kulia.

Napata hofu sana nikihofia huenda nitakuwa nimegusana nae japo sikumbuki vizuri kama nilimshika sehemu zake za siri kwa mkono wa kulia.

Nahitaji kuanza PEP naombeni muongozo wa namna ya kuzipatana wapi.

Natanguliza shukrani [emoji881]
 
Nenda kituo cha afya kilicho jirani,,, ulizia huduma za CTC, waombe PEP, ( post exposure prophylaxis) unapewa ARVs za mwezi,,,, unapiga hata kama vimepita unaclear mambo fresh,,,,, ila watakupima kwanza HIV…..
Usiogope mkuu mimi nina mwanangu yeye mke wake alikuwa known positive kuna siku alijichanganya akapiga bila kinga,,,, alitumia PEP…. yuko poa now.
 
Nashukuru sana mkuu, je kwa jumapili naweza kupata
 
Ni jumatatu hadi ijumaaa,,,, ila kama uko jirani mtafute mwana anaefanya kazi hapo,,, atakuunganisha na jamaa wa ctc, wanakuwaga na dawa hadi nyumbani wale…atakupa za kuanzia pia inatakiwa uanze ndani ya saa 72( siku tatu tangu exposure) the earlier the better….
 
Duh kwahiyo toka jana ijumaa mpaka jumatatu si zitakua zimepita saa 72
 
Back
Top Bottom