Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Hizo ndio gharama za uzinzi mdogo wanguWe acha tu mkuu nimekosa amani tangu jana usiku
unamshaurije mtu kula wakati wewe kula yako ni mpaka hapo lumumba mpikiwe mihogo mataga wewe?Zingatia kula kwa wakati matunda ni muhimu, pata muda wa kupumzika na ufanye mazoezi
Tafuta huduma sasa hivi. You are too young kuongeza chain. Huna mtu daktari unatemjua? Hata private ikibidi lipia tu.Am just 22, will be turning 23 next month.
Exactly Sasa hiyo ni kawaida kabisa kuwa na hofu uliyopata.Am just 22, will be turning 23 next month.
Subiri kifo tu mkuu...kwanza ukimwi wa sasa haukuumbui kama wa zamaniHabari wakuu
Jana niliruka na dem mmoja ambaye kiukweli simuamini hali yake kiafya, ofcourse tulitumia ndom ila katika kumshika shika baadae nilikuja kukumbuka kuwa nina kidonda kidogo kibichi ( open wound )kwenye kidole changu cha mkono wa kulia.
Napata hofu sana nikihofia huenda nitakuwa nimegusana nae japo sikumbuki vizuri kama nilimshika sehemu zake za siri kwa mkono wa kulia.
Nahitaji kuanza PEP naombeni muongozo wa namna ya kuzipatana wapi.
Natanguliza shukrani [emoji881]
Usihofu ;Victim of what