Nina hofu ya UKIMWI

Nina hofu ya UKIMWI

Does not make her a victim
Anyway nakuelewa hiyo hali hutokana na umri wako zaidi kuliko huyo mwanamke (experience)
Niambie kuwa hauko below 30yrs.
Am just 22, will be turning 23 next month.
 
Habari wakuu

Jana niliruka na dem mmoja ambaye kiukweli simuamini hali yake kiafya, ofcourse tulitumia ndom ila katika kumshika shika baadae nilikuja kukumbuka kuwa nina kidonda kidogo kibichi ( open wound )kwenye kidole changu cha mkono wa kulia.

Napata hofu sana nikihofia huenda nitakuwa nimegusana nae japo sikumbuki vizuri kama nilimshika sehemu zake za siri kwa mkono wa kulia.

Nahitaji kuanza PEP naombeni muongozo wa namna ya kuzipatana wapi.

Natanguliza shukrani [emoji881]
Subiri kifo tu mkuu...kwanza ukimwi wa sasa haukuumbui kama wa zamani
 
Victim of what
Usihofu ;
Kama ukijitahidi kula mlo kamili na matunda kwa wingi....

Ukajitahidi kufuata dawa kama inavyotakiwa , Ukatulia na mtu mmoja, utaishi Muda mrefu.


 
Back
Top Bottom