You're not serious mkuuUsihofu ;
Kama ukijitahidi kula mlo kamili na matunda kwa wingi....
Ukajitahidi kufuata dawa kama inavyotakiwa , Ukatulia na mtu mmoja, utaishi Muda mrefu.
View attachment 3078199
Ushauri wako ni muhimu sanaView attachment 3078200
Pole sana kijana ngoja nimalizie kufanya scrub hapa halafu nikushauri.
Kuna jamaa huku alimshauri mwenzake hivihivi sema akaongeza na βMrudie Muumba wakoβ i was like He! Kwamba Mungu ndo wa kumuendea ukishaukwaa sio? Ukiwa mzima aaah πZingatia kula kwa wakati matunda ni muhimu, pata muda wa kupumzika na ufanye mazoezi
Im not serios untill Your issue is serious .You're not serious mkuu
Uko okay baada ya mda utagundua hakuna shida na maisha yanaendeleaKwahiyo mkuu unataka kusemaje
Kwa iyo ale chakula kizuri kwa wakati na kumeza dawa kwa wakati, asisahau kufanya mazoezi na kupata muda wakutosha wa kupumzika.Kimekulambaaaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiwooo!! Ndiwoo!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa iyo ale chakula kizuri kwa wakati na kumeza dawa kwa wakati, asisahau kufanya mazoezi na kupata muda wakutosha wa kupumzika.
Mwisho kabisa amrudie mungu wake....
Akizingatia hayo ataishi kwa matumaini [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kwani hivi vipimo huko kwenu havipo? Si uende ukampimeHabari wakuu
Jana niliruka na dem mmoja ambaye kiukweli simuamini hali yake kiafya, ofcourse tulitumia ndom ila katika kumshika shika baadae nilikuja kukumbuka kuwa nina kidonda kidogo kibichi ( open wound )kwenye kidole changu cha mkono wa kulia.
Napata hofu sana nikihofia huenda nitakuwa nimegusana nae japo sikumbuki vizuri kama nilimshika sehemu zake za siri kwa mkono wa kulia.
Nahitaji kuanza PEP naombeni muongozo wa namna ya kuzipatana wapi.
Natanguliza shukrani [emoji881]
Angalau mkuu umenipa moyo, some people are just on this platform to break others into pieces, they simply take advantage of other people's problems..Uko okay baada ya mda utagundua hakuna shida na maisha yanaendelea
Hiyo hali huwa inatokea Kila baada ya sex kwa umri wako Kuna wakati utakisi accidentally,Kuna wakati kondomu itapasuka na Kuna wakati utauza mechi mazima mengi yatatokea kukukomaza we bado sana
Yeah..Unasema kweli mkuu ?
Duh hatari sanaYeah..
Inasemekana huyo dada alikuwa na mtu wake...so wakati wakiwa kwenye faragha huyo mtu wake alikuwa anapenda kumwambia amtumbue chunusi...
Bila kujua kumbe Yale majimaji yanapenya mpk kwa kucha ndani ndo akaukwaa..
Na kondom walikuwa wanatumia
Jitahidi usipitishe hata siku 1 bila kutumiaShukrani sana mkuu