Nina hofu ya UKIMWI

Nina hofu ya UKIMWI

Zingatia kula kwa wakati matunda ni muhimu, pata muda wa kupumzika na ufanye mazoezi
Kuna jamaa huku alimshauri mwenzake hivihivi sema akaongeza na “Mrudie Muumba wako” i was like He! Kwamba Mungu ndo wa kumuendea ukishaukwaa sio? Ukiwa mzima aaah 😅
 
Kwahiyo mkuu unataka kusemaje
Uko okay baada ya mda utagundua hakuna shida na maisha yanaendelea
Hiyo hali huwa inatokea Kila baada ya sex kwa umri wako Kuna wakati utakisi accidentally,Kuna wakati kondomu itapasuka na Kuna wakati utauza mechi mazima mengi yatatokea kukukomaza we bado sana
 
Kimekulambaaaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa iyo ale chakula kizuri kwa wakati na kumeza dawa kwa wakati, asisahau kufanya mazoezi na kupata muda wakutosha wa kupumzika.

Mwisho kabisa amrudie mungu wake....
Akizingatia hayo ataishi kwa matumaini 😅😅😅😅
 
Kwa iyo ale chakula kizuri kwa wakati na kumeza dawa kwa wakati, asisahau kufanya mazoezi na kupata muda wakutosha wa kupumzika.

Mwisho kabisa amrudie mungu wake....
Akizingatia hayo ataishi kwa matumaini [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ndiwooo!! Ndiwoo!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari wakuu

Jana niliruka na dem mmoja ambaye kiukweli simuamini hali yake kiafya, ofcourse tulitumia ndom ila katika kumshika shika baadae nilikuja kukumbuka kuwa nina kidonda kidogo kibichi ( open wound )kwenye kidole changu cha mkono wa kulia.

Napata hofu sana nikihofia huenda nitakuwa nimegusana nae japo sikumbuki vizuri kama nilimshika sehemu zake za siri kwa mkono wa kulia.

Nahitaji kuanza PEP naombeni muongozo wa namna ya kuzipatana wapi.

Natanguliza shukrani [emoji881]
Kwani hivi vipimo huko kwenu havipo? Si uende ukampime
 
Uko okay baada ya mda utagundua hakuna shida na maisha yanaendelea
Hiyo hali huwa inatokea Kila baada ya sex kwa umri wako Kuna wakati utakisi accidentally,Kuna wakati kondomu itapasuka na Kuna wakati utauza mechi mazima mengi yatatokea kukukomaza we bado sana
Angalau mkuu umenipa moyo, some people are just on this platform to break others into pieces, they simply take advantage of other people's problems..
 
Unasema kweli mkuu ?
Yeah..
Inasemekana huyo dada alikuwa na mtu wake...so wakati wakiwa kwenye faragha huyo mtu wake alikuwa anapenda kumwambia amtumbue chunusi...
Bila kujua kumbe Yale majimaji yanapenya mpk kwa kucha ndani ndo akaukwaa..
Na kondom walikuwa wanatumia
 
Duh hatari sana
 
Ukimwi siyo makalio kila mtu yuko nayo. Ila ukiandikiwa kuupata utaupata tu,ile kitu ni jini kabisa😀😀😀
 
Back
Top Bottom