Nina hofu ya UKIMWI

Nina hofu ya UKIMWI

Habari wakuu

Jana niliruka na dem mmoja ambaye kiukweli simuamini hali yake kiafya, ofcourse tulitumia ndom ila katika kumshika shika baadae nilikuja kukumbuka kuwa nina kidonda kidogo kibichi ( open wound )kwenye kidole changu cha mkono wa kulia.

Napata hofu sana nikihofia huenda nitakuwa nimegusana nae japo sikumbuki vizuri kama nilimshika sehemu zake za siri kwa mkono wa kulia.

Nahitaji kuanza PEP naombeni muongozo wa namna ya kuzipatana wapi.

Natanguliza shukrani [emoji881]
Kama unajiamini nendeni wote mkapime,akiwa salama basi ujuwe uko salama,ila acha zinaa wewe,hali sio nzuri huko mitaani,utaua ndoto zako zote za maisha yako kwa kuendekeza uzinzi...
 
Habari wakuu

Jana niliruka na dem mmoja ambaye kiukweli simuamini hali yake kiafya, ofcourse tulitumia ndom ila katika kumshika shika baadae nilikuja kukumbuka kuwa nina kidonda kidogo kibichi ( open wound )kwenye kidole changu cha mkono wa kulia.

Napata hofu sana nikihofia huenda nitakuwa nimegusana nae japo sikumbuki vizuri kama nilimshika sehemu zake za siri kwa mkono wa kulia.

Nahitaji kuanza PEP naombeni muongozo wa namna ya kuzipatana wapi.

Natanguliza shukrani [emoji881]
Dogo ukimwi haumbukizwi kirahisi hivyo acha uoga na kujipata mawazo pia hizo dawa unataka kunywa ni dawa unataka kunywa hutoweza kufanya kazi kwa mwezi mmoja kama sio week mbili ni dawa hatari sana si kama panado ....hizo ni dawa kali mno narudia dawa kali sana......

Usilets uoga wa kitoto prep sio pipi na virus vya ukimwi haviumbukizwi kwa urahisi kama ulivyo elezea hapo juuu naongea kama mtu mwenye uelewa wa hali ya juu ya huo ugonjwa..... so tulia
 
Dah! Umebonea kwenye kanselling,ila kweli kunadada anajiuza pisi haswa nilikua na ugwaduu umenikaba nikasema Wacha nikajilipue mwanaume Mimi so mvulana.

Nikamfata nikamwomba show tukaenda room,nilikua na vipimoo Cha kwanza nikapiga na mpira niipize mother maana nilihisi kumpima nitachelewa. Baada ya hapo nikaampoma kha! Demu yupo fresh Dah nilishangaa sana......Leo miiaka 3 Nipo fresh kabisaa.
Ukimwi siyo makalio kila mtu yuko nayo. Ila ukiandikiwa kuupata utaupata tu,ile kitu ni jini kabisa😀😀😀
 
Dogo ukimwi haumbukizwi kirahisi hivyo acha uoga na kujipata mawazo pia hizo dawa unataka kunywa ni dawa unataka kunywa hutoweza kufanya kazi kwa mwezi mmoja kama sio week mbili ni dawa hatari sana si kama panado ....hizo ni dawa kali mno narudia dawa kali sana......

Usilets uoga wa kitoto prep sio pipi na virus vya ukimwi haviumbukizwi kwa urahisi kama ulivyo elezea hapo juuu naongea kama mtu mwenye uelewa wa hali ya juu ya huo ugonjwa..... so tulia
Atulie hivo hivo
 
Attachments

  • IMG-20240823-WA0005.jpg
    IMG-20240823-WA0005.jpg
    124.9 KB · Views: 5
Dogo ukimwi haumbukizwi kirahisi hivyo acha uoga na kujipata mawazo pia hizo dawa unataka kunywa ni dawa unataka kunywa hutoweza kufanya kazi kwa mwezi mmoja kama sio week mbili ni dawa hatari sana si kama panado ....hizo ni dawa kali mno narudia dawa kali sana......

Usilets uoga wa kitoto prep sio pipi na virus vya ukimwi haviumbukizwi kwa urahisi kama ulivyo elezea hapo juuu naongea kama mtu mwenye uelewa wa hali ya juu ya huo ugonjwa..... so tulia
Mkuu naomba darasa kidogo kuhusu namna ugonjwa huu unavyo ambukiza
 
Dah! Umebonea kwenye kanselling,ila kweli kunadada anajiuza pisi haswa nilikua na ugwaduu umenikaba nikasema Wacha nikajilipue mwanaume Mimi so mvulana.

Nikamfata nikamwomba show tukaenda room,nilikua na vipimoo Cha kwanza nikapiga na mpira niipize mother maana nilihisi kumpima nitachelewa. Baada ya hapo nikaampoma kha! Demu yupo fresh Dah nilishangaa sana......Leo miiaka 3 Nipo fresh kabisaa.
Kumbe inawezekana anayejiuza asiwe nao ?
 
Habari wakuu

Jana niliruka na dem mmoja ambaye kiukweli simuamini hali yake kiafya, ofcourse tulitumia ndom ila katika kumshika shika baadae nilikuja kukumbuka kuwa nina kidonda kidogo kibichi ( open wound )kwenye kidole changu cha mkono wa kulia.

Napata hofu sana nikihofia huenda nitakuwa nimegusana nae japo sikumbuki vizuri kama nilimshika sehemu zake za siri kwa mkono wa kulia.

Nahitaji kuanza PEP naombeni muongozo wa namna ya kuzipatana wapi.

Natanguliza shukrani [emoji881]
mshahara wa dhambi ni mauti
 
Uko wapi ndugu ? Pole kwa hayo ,nitakupatia PEP kwa gharama ya elfu themanini tu ,tafadhali weka namba hapa au PM tuwasiliane .
Pole sana bwana gonga gonga
 
Pata tu huo ukimwi....ndo malipo ya uzizii
 
Dogo ukimwi haumbukizwi kirahisi hivyo acha uoga na kujipata mawazo pia hizo dawa unataka kunywa ni dawa unataka kunywa hutoweza kufanya kazi kwa mwezi mmoja kama sio week mbili ni dawa hatari sana si kama panado ....hizo ni dawa kali mno narudia dawa kali sana......

Usilets uoga wa kitoto prep sio pipi na virus vya ukimwi haviumbukizwi kwa urahisi kama ulivyo elezea hapo juuu naongea kama mtu mwenye uelewa wa hali ya juu ya huo ugonjwa..... so tulia
Atulie kabisa
 
Back
Top Bottom