Nina huzuni sana, mume wangu kaniaga anaenda Nairobi kikazi, nilipomfikisha Airport kasema nimdrop Terminal ll

Dhana huwa ni chanzo cha migogoro mingi ya kimahusiano.

Ilipaswa umuulize hapo hapo alipokwambia ili ujiridhishe nafsi yako. Sababu ya uoga wako wa kuuliza sasa hivi unatunga theory zako kichwani.

Kama itakupa faraja yeyote, terminal 2 hutumika pia kwa ndege za within East Africa kama Rwanda, Burundi, Kenya na Uganda.

Na siku nyingine katika scenario kama hiyo na huna ujasiri wa kuuliza, shuka ukamsindikize. Airport kuna screens zinazoonyesha flight schedule zote za siku husika.
 

Inawezekana anaanzia kule maana kuna huduma ambazo zipo nje ya airport, hatalafu atatembea kuelekea terminal 3, acha upumbavu, ukiwa mjinga hivyo hutadumu na mwanaume.
 
Ukiona jambo linatokea na unawaza kua cheated inamaanisha yalishawahi kutokea masuala hayo ndiyo maana akili yako imewaza hayo hayo.

Why kauli ilikata? Ni kwakua kichwani zilikua zinakujia picha za matukio yaliyowahi kutokea? Au huamini anarudia tabia ile ile? Au huelewi inakuaje kuaje?

Trust is expensive
 
Precision inaenda Nairobi
 
Precision air wanaenda Nairobi na bado wanatumia terminal 2
 
Uyafanye wewe na mumeo alafu uje utuulize sisi dah ila tushajua mumeo kasafiri wale wa kuja pm watakuja mkapoozane.

Kiufupi linatafutwa jitu lipigwe na kitu kizito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…