Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
Dhana huwa ni chanzo cha migogoro mingi ya kimahusiano.
Ilipaswa umuulize hapo hapo alipokwambia ili ujiridhishe nafsi yako. Sababu ya uoga wako wa kuuliza sasa hivi unatunga theory zako kichwani.
Kama itakupa faraja yeyote, terminal 2 hutumika pia kwa ndege za within East Africa kama Rwanda, Burundi, Kenya na Uganda.
Na siku nyingine katika scenario kama hiyo na huna ujasiri wa kuuliza, shuka ukamsindikize. Airport kuna screens zinazoonyesha flight schedule zote za siku husika.