Peaceforever
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,030
- 2,200
Pole, ila anaweza kuwa anakusoma hapa pia.inakuwaje aende Terminal ll wakati hiyo ni kwa ajili ya local flights?
watu na experience zenu za usafiri wa Ndege...Usiwe na wasi wasi, terminal II pia inatumika. Ulipaswa kuwa na wasiwasi kama ingekuwa terminal I hiyo ndiyo exclusive local though kwa flight maalumu za kimataifa pia hutumika.
Precion air huenda.Jamani labda ni wivu umenizidi au labda ni umbumbumbu.
Mume wangu wiki nzima amekuwa na maandalizi ya safari ya kikazi Nairobi. Tunapendana na kuheshimiana sana pia na kuaminiana.
Leo alikuwa anaondoka na ndege ya alfajiri, nikampeleka airport, nilipokuwa nataka kuingia Terminal lll akasema nyosha, twende Terminal ll.
Nikawa speechless, nimepigwa na butwaa na mshangao, inakuwaje aende Terminal ll wakati hiyo ni kwa ajili ya local flights?
Ninachojua Terminal lll ni kwa ajili ya International flights.
Ndugu zangu, naomba mnisaidie, nina huzuni sana moyoni, naombeni mawaidha yenu nisije nikawa namhukumu kwa ubaya baba wa watu bure
Kumbe unafanya mzaha tu hapaKIA to NRB is just a walking πΆ distance
Itakuwa anaenda Arusha kwanza kisha ataendelea kwenda Nairobi kwa usafiri wa coaster za river side Nairobi shuttle.Ninachojua Terminal lll ni kwa ajili ya International flights.
Ata uganda pia uwa natumia terminal 11 ila wakati wa kwenda ila siku nyingine ukiwa na wasi wasi pambana ujue fight yake arafu unaichek kwenye fighttrander 24 inakupa info za safar y ndegeTerminal II inatumika na wasafiri wa ndani ya nchi na baadhi ya nchi za Africa ikiwemo Kenya na congo
Tukusaidiaje mrembo?Jamani labda ni wivu umenizidi au labda ni umbumbumbu.