Nina huzuni sana, mume wangu kaniaga anaenda Nairobi kikazi, nilipomfikisha Airport kasema nimdrop Terminal ll

Nina huzuni sana, mume wangu kaniaga anaenda Nairobi kikazi, nilipomfikisha Airport kasema nimdrop Terminal ll

inakuwaje aende Terminal ll wakati hiyo ni kwa ajili ya local flights?
Pole, ila anaweza kuwa anakusoma hapa pia.

Nafikiri Precision air inapitia Kilimanjaro halafu inaenda Nairobi.

Na inaanzia terminal II, nahisi ndiyo ameenda nayo.
 
Terminal II pia hutumika kwa intern flights, terminal I ndo for only local flights
 
Usiwe na wasi wasi, terminal II pia inatumika. Ulipaswa kuwa na wasiwasi kama ingekuwa terminal I hiyo ndiyo exclusive local though kwa flight maalumu za kimataifa pia hutumika.
watu na experience zenu za usafiri wa Ndege...

Dada siku mumeo akisafiri na BM au KILIMANJARO halafu akakwambia msiende shekilango Fungua Uzi nije kukwambia kwanin hajaenda shekilango.

Huko kwenye ma terminal terminal hata sielewi kitu najua tu neno Airport mana nimelisoma darasani.
 
Jamani labda ni wivu umenizidi au labda ni umbumbumbu.
Mume wangu wiki nzima amekuwa na maandalizi ya safari ya kikazi Nairobi. Tunapendana na kuheshimiana sana pia na kuaminiana.

Leo alikuwa anaondoka na ndege ya alfajiri, nikampeleka airport, nilipokuwa nataka kuingia Terminal lll akasema nyosha, twende Terminal ll.

Nikawa speechless, nimepigwa na butwaa na mshangao, inakuwaje aende Terminal ll wakati hiyo ni kwa ajili ya local flights?

Ninachojua Terminal lll ni kwa ajili ya International flights.

Ndugu zangu, naomba mnisaidie, nina huzuni sana moyoni, naombeni mawaidha yenu nisije nikawa namhukumu kwa ubaya baba wa watu bure
Precion air huenda.
Ikiwa ndivyo huenda itapitia Zanzibar au Jro.
Hiyo ni locsl na inter...pia
 
Terminal II inatumika na wasafiri wa ndani ya nchi na baadhi ya nchi za Africa ikiwemo Kenya na congo
 
Terminal II inatumika na wasafiri wa ndani ya nchi na baadhi ya nchi za Africa ikiwemo Kenya na congo
Ata uganda pia uwa natumia terminal 11 ila wakati wa kwenda ila siku nyingine ukiwa na wasi wasi pambana ujue fight yake arafu unaichek kwenye fighttrander 24 inakupa info za safar y ndege
 
Pole sana fanya utafiti zaidi kweli precision inaenda Nairobi wanatumia terminal 2
 
Kuna local flights zinaenda Kenya na Uganda na zinaondokea Terminal II.
 
JamiiForums2144198311.gif

Hii ni chai, ila kama ni kweli kwann ukumuuliza mwenyewe ukiwa nae?
 
Jamani labda ni wivu umenizidi au labda ni umbumbumbu.
Mume wangu wiki nzima amekuwa na maandalizi ya safari ya kikazi Nairobi. Tunapendana na kuheshimiana sana pia na kuaminiana.

Leo alikuwa anaondoka na ndege ya alfajiri, nikampeleka airport, nilipokuwa nataka kuingia Terminal lll akasema nyosha, twende Terminal ll.

Nikawa speechless, nimepigwa na butwaa na mshangao, inakuwaje aende Terminal ll wakati hiyo ni kwa ajili ya local flights?

Ninachojua Terminal lll ni kwa ajili ya International flights.

Ndugu zangu, naomba mnisaidie, nina huzuni sana moyoni, naombeni mawaidha yenu nisije nikawa namhukumu kwa ubaya baba wa watu bure
Tukusaidiaje mrembo?

Nina kapu zima hapa lenye mambo ya kukuliwaza endapo utakuwa mhitaji
 
Pole kwa taharuki asee.

Abiria chunga mzigo wako!!
 
Tokea nitokee saudia kwenye kazi za uyaya sijapanda ndege tena.
 
Dada usije ukafa kwa pressure bure kwa kitu kisichoepukika hapa duniani, hakuna mwanaume mwenye uwezo anaeweza kuishi pasi na kuchepuka, kikubwa huwa tunatunza sana siri na kuwaheshimu wake zetu tu basi.
 
Wivu wako tu, siku nyingine soma ticket
Ila mapenzi yanachekesha sasa kwann usingemuuliza shem? Yeye ndo mwenye majibu ya maswali yako.
Huku kuna watu wamevurugwa watakupanikisha uzidi kuumia 😂😂😂
 
Ila ushamba mwingine hauzoeleki wasukuma mnatuonea Bure hivi huyu naye ni msukuma?

Yaani aliyekuambia mwingine wewe ndiye ulompereka Kwa nn usimuulize yeye

Utakuwa unataka kuchepuka tu

Wala usiwaze sana we njoo huku upigwe u...ku...niii mwenzako huko kaenda kuhemea ntu kisogoni
 
Kwani shemeji sio member humu?si atashangaa Kwa Nini unauliza umma badala yake?
 
Back
Top Bottom