Nina Huzuni sana Nishaurini!

Nina Huzuni sana Nishaurini!

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
Bwana katika kujibana kwangu katika maisha ya shule nilijibana mpaka shilingi 500,000 tu.
sasa hio pesa nilijibana ninunue simu, nikanunua hio simu sasa kumbe hio simu imefungiwa netwek apa tz. nimekaa nayo tu hapa kama camera!

Kweli roho inaniuma ukizingatia nimejinyima saana na hii ni hasara kubwa kwangu!
waheshimiwa sasa nashindwa ku concetrate na masomo nawaza tu hio loss niloipata,,,yaani nikiikumbuka nakosa amani!

Je Ninyi mlifanya nini kukabiliana na stress mlizopata baada ya kupata Hasara? Je na Mimi Nifanye ni ili nirudi katika hali yangu ya kawaida Je?
 
unaweza eleza ni cm ya aina gani? tukusaidie kupunguza huo msongo wa mawazo? hakuna lisilo wezekana
 
Pole sana mkuu kunywa maji mengi mawazo yatapungua
 
unaweza eleza ni cm ya aina gani? tukusaidie kupunguza huo msongo wa mawazo? hakuna lisilo wezekana
Mkuu ni Galaxy S6 G920P...Rangi Nyeupe ina Shika netwek GSM/WCDMA/CDMA/LTE. ni nyembamba kiasi ina Nchi 5.1 haina week Moja toka ninunue....nikiweka line inadai invalid simcard yaani kama vile line ipo locked kutumika internationaly
 
Rudi

Rudisha uliponunulia
 
Mkuu ujanja ni kuhamia nchi ambazo hiyo simu inashika network
 
Mkuu ni Galaxy S6 G920P...Rangi Nyeupe ina Shika netwek GSM/WCDMA/CDMA/LTE. ni nyembamba kiasi ina Nchi 5.1 haina week Moja toka ninunue....nikiweka line inadai invalid simcard yaani kama vile line ipo locked kutumika internationaly

Kwa nini usirudishe ulipoinunua?
 
Mkuu ni Galaxy S6 G920P...Rangi Nyeupe ina Shika netwek GSM/WCDMA/CDMA/LTE. ni nyembamba kiasi ina Nchi 5.1 haina week Moja toka ninunue....nikiweka line inadai invalid simcard yaani kama vile line ipo locked kutumika internationaly

fanya mpango uibadili certificate...80 ipo?
 
hapana sitaki pesa, wala sitaki kuifungua, nimekwambia tu kwamba inafunguka
sasa mkuu kwanini usinisaidie si unajua tunatofautiana ujuzi, leo wewe utanisaidia hili mimi nitakusaidia lile kesho...u never know
 
Mkuu nimesumbuana na Mhusika mpaka nakata tamaa
Inavyoonekana haukuchukua resit halafu kingine hiyo simu nenda kai flash uweke rom mpya ambayo unaweza itumia internationaly nakushauri nenda kwenye maduka makubwa ya simu yanayoaminika mkuu ni kama 20000/= hivi mpaka ifanye kazi JIPANGE
 
Back
Top Bottom