Nina Huzuni sana Nishaurini!

Nina Huzuni sana Nishaurini!

Yaani 500k unalialia unaomba ushauri wakati wewe ulishasemaga ni masonic pre-member, kwa secret society hyo si hela ya supu tu
Tumia Busara Nipo serious!
 
Mkuu ni Galaxy S6 G920P...Rangi Nyeupe ina Shika netwek GSM/WCDMA/CDMA/LTE. ni nyembamba kiasi ina Nchi 5.1 haina week Moja toka ninunue....nikiweka line inadai invalid simcard yaani kama vile line ipo locked kutumika internationaly

Unaonekana uko desperate, sasa angalia usije ukatapeliwa na hela nyingi, nina uhakika kwa hele chini ya laki 1 wanaweza kuirekebisha hiyo simu. Tafuta wataalam neutral, sio wa hapa Jamii forums maana washajua una wenge, ipeleke, na itakuwa poa nina uhakika! they will unlock it!
 
Mpelekee simu yake mwambie akurudishie hela zako! Ikishindikana peleka kwa fundi aifanyie maarifa!
 
Sasa kule anaweza akakukana kwamba hajakuuzia! Labda kama ni mstaarabu anaweza akakubali na akarudisha hela, ila sasa hili liwe fundisho kwako, kununua vitu mikononi mwa watu sio poa!
 
Sasa kule anaweza akakukana kwamba hajakuuzia! Labda kama ni mstaarabu anaweza akakubali na akarudisha hela, ila sasa hili liwe fundisho kwako, kununua vitu mikononi mwa watu sio poa!
Mkuu tumeeandikiana hadi barua na aka atach kadi yake ya kupiga kura!
 
Ikiwa ni hivyo bas usiumize kichwa, nenda police post, pale utasaidiwa!
 
Back
Top Bottom