Nina Huzuni sana Nishaurini!

Nina Huzuni sana Nishaurini!

Mkuu nisaidie nabadili vipi
Kuna mafundi wanakuwekea certificate mpya inafanya kazi vizuri tu, juzi hapa kuna fundi alinirekebishia tatizo hilo kws sh65,000, sema niko mkoani
 
Kuna mafundi wanakuwekea certificate mpya inafanya kazi vizuri tu, juzi hapa kuna fundi alinirekebishia tatizo hilo kws sh65,000, sema niko mkoani
Unajua procedures zake mkuu
 
Au nenda kwenye kampuni ya hiyo simu wakufanyie mchakato wa simu nyingine.
 
Mkuu nilijibana maana nilihitaji kitu kizuri zaidi
Umekipata hicho kitu kizuri? Mbona simu zipo nyingi tu kwa bei nzuri na ubora uliojuu, mwambie mkuu wenu wa mason akuwezeshe
 
Back
Top Bottom