Mkuu ni Galaxy S6 G920P...Rangi Nyeupe ina Shika netwek GSM/WCDMA/CDMA/LTE. ni nyembamba kiasi ina Nchi 5.1 haina week Moja toka ninunue....nikiweka line inadai invalid simcard yaani kama vile line ipo locked kutumika internationalyunaweza eleza ni cm ya aina gani? tukusaidie kupunguza huo msongo wa mawazo? hakuna lisilo wezekana
Rudisha uliponunuliaMkuu ni Galaxy S6 G920P...Rangi Nyeupe ina Shika netwek GSM/WCDMA/CDMA/LTE. ni nyembamba kiasi ina Nchi 5.1 haina week Moja toka ninunue....nikiweka line inadai invalid simcard yaani kama vile line ipo locked kutumika internationaly
Kama alibana pesa anashindwaje kubana stress,.....huyu nae!Daah Good idea
Mkuu ni Galaxy S6 G920P...Rangi Nyeupe ina Shika netwek GSM/WCDMA/CDMA/LTE. ni nyembamba kiasi ina Nchi 5.1 haina week Moja toka ninunue....nikiweka line inadai invalid simcard yaani kama vile line ipo locked kutumika internationaly
Mkuu ni Galaxy S6 G920P...Rangi Nyeupe ina Shika netwek GSM/WCDMA/CDMA/LTE. ni nyembamba kiasi ina Nchi 5.1 haina week Moja toka ninunue....nikiweka line inadai invalid simcard yaani kama vile line ipo locked kutumika internationaly
siku ukitaka kuitumia hiyo cm utafaham tu wanabadil vipi, mwenyewe huwezi maana huna toolsHIO unabadilije mkuu
hapana sitaki pesa, wala sitaki kuifungua, nimekwambia tu kwamba inafungukaOooh kumbe umemaanisha nikupe pesa unifunguliee
Inavyoonekana haukuchukua resit halafu kingine hiyo simu nenda kai flash uweke rom mpya ambayo unaweza itumia internationaly nakushauri nenda kwenye maduka makubwa ya simu yanayoaminika mkuu ni kama 20000/= hivi mpaka ifanye kazi JIPANGEMkuu nimesumbuana na Mhusika mpaka nakata tamaa