Nina ideas mbili za biashara nataka nianze na moja. Tafadhali nishaurini

Ungemalizia kabisa wakija Jane wote peponi

Hapo lazima ziwe pisi mbili matata sana halafu zisiwe za kwenye eneo Hilo ka tafute kwingine kabisa,wa train wawe expensive wao Kama wao kuanzia pamba, kusuka sijui swaga zile zooote wawe nazo wasisahau kuwa charming kwa wateja wasiwe visirani na usichukue low brain

Chukua wale ambao mteja akija apate more than pombe sijui umeelewa ?? Elewa more than pombe
Mfano hapo 'mteja anakuja na swaga za mpira umo,swaga za siasa umo,swaga sijui za ma celebs umo,swaga za kiswahili umo"

Mara nyingi wale wateja wako potential huwa financially vzr na wanapokuja sehemu Kama hizo wanatafuta relief yakuishi sijui umeelewa?

Haya Kila la kheri na wewe Kama KE HAKIKISHA unakuwa alwatan kwenye eneo lako hapo kivyovyote vile itakuwa more than liquor store
Nakushukuru sana Dada Jane. Huu ushauri ninaubeba jumla. Hapana mimi ni ME.. hiyo ID yangu ipo tu kimkakati.
 
Ungemalizia kabisa wakija Jane wote peponi

Hapo lazima ziwe pisi mbili matata sana halafu zisiwe za kwenye eneo Hilo ka tafute kwingine kabisa,wa train wawe expensive wao Kama wao kuanzia pamba, kusuka sijui swaga zile zooote wawe nazo wasisahau kuwa charming kwa wateja wasiwe visirani na usichukue low brain

Chukua wale ambao mteja akija apate more than pombe sijui umeelewa ?? Elewa more than pombe
Mfano hapo 'mteja anakuja na swaga za mpira umo,swaga za siasa umo,swaga sijui za ma celebs umo,swaga za kiswahili umo"

Mara nyingi wale wateja wako potential huwa financially vzr na wanapokuja sehemu Kama hizo wanatafuta relief yakuishi sijui umeelewa?

Haya Kila la kheri na wewe Kama KE HAKIKISHA unakuwa alwatan kwenye eneo lako hapo kivyovyote vile itakuwa more than liquor store
Madini mazuri Sana ..umenikosha Sana hapo more than pombe more than pombe ......
 
Elimu inaingiaje kwenye biashara mkuu
Embu nieleweshe mpendwa wangu
Point yangu haikua mbaya ,ila watu wengine upumbavu mwingi lengo langu ni hili.

Biashara ni risk sana ukifanya jambo ambalo huna uhusiano nalo moja kwa moja. Mfano amesema anataka kufungua duka la vifaa vya ushonaji na ufundi cherehani sasa kama yeye sio fundi au hana taaluma ya ufundi inaweza kumletea shida kucopy na biashara hiyo. Pia amesema anataka kufungua duka la pombe sasa kama yeye mlokole unadhani atajua pombe gani zipo kwenye soko?.
 
Back
Top Bottom