Nina ideas mbili za biashara nataka nianze na moja. Tafadhali nishaurini

Nina ideas mbili za biashara nataka nianze na moja. Tafadhali nishaurini

Ungemalizia kabisa wakija Jane wote peponi

Hapo lazima ziwe pisi mbili matata sana halafu zisiwe za kwenye eneo Hilo ka tafute kwingine kabisa,wa train wawe expensive wao Kama wao kuanzia pamba, kusuka sijui swaga zile zooote wawe nazo wasisahau kuwa charming kwa wateja wasiwe visirani na usichukue low brain

Chukua wale ambao mteja akija apate more than pombe sijui umeelewa ?? Elewa more than pombe
Mfano hapo 'mteja anakuja na swaga za mpira umo,swaga za siasa umo,swaga sijui za ma celebs umo,swaga za kiswahili umo"

Mara nyingi wale wateja wako potential huwa financially vzr na wanapokuja sehemu Kama hizo wanatafuta relief yakuishi sijui umeelewa?

Haya Kila la kheri na wewe Kama KE HAKIKISHA unakuwa alwatan kwenye eneo lako hapo kivyovyote vile itakuwa more than liquor store
Peponi siti ya mbele pembeni ya Ibrahim.
 
Point yangu haikua mbaya ,ila watu wengine upumbavu mwingi lengo langu ni hili.

Biashara ni risk sana ukifanya jambo ambalo huna uhusiano nalo moja kwa moja. Mfano amesema anataka kufungua duka la vifaa vya ushonaji na ufundi cherehani sasa kama yeye sio fundi au hana taaluma ya ufundi inaweza kumletea shida kucopy na biashara hiyo. Pia amesema anataka kufungua duka la pombe sasa kama yeye mlokole unadhani atajua pombe gani zipo kwenye soko?.
Sasa hayo maelezo vina uhusiano gani na level ya elimu,wasomi wengine vilaza kweli

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu namshukuru Mungu kwa hii pumzi na kwa riziki zake. Mimi ndugu yenu siku za hivi karibuni nimeona ni muda muafaka wa kuanzisha chanzo kingine cha mapato ila bado sijafanya maamuzi kamili. Nimekuwa nikiwaza sana nifanye biashara gani tofauti na ninayofanya kwa sasa ndo nikapata mawazo mawili kulingana na mtaji nilio nao.

Wazo la kwanza ninataka nifungue sehemu ya kuuza fabrics (materials za kushonea). Na pia niweke cherehani kama 3 za mafundi hapo nitakapokuwa nauzia fabrics. Wazo la pili ni kufungua duka la kuuza pombe na vinywaji vingine (LIQUOR STORE). Hizi biashara zote mbili kwa tathmini yangu binafsi ninaona yoyote nitakayochagua kuanza nayo nitaimudu. Mji niliopo ni mkubwa na ni halmashauri ya manispaa.

Karibuni tushauriane. Yawezekana huu uzi ukasaidia mtu mwingine pia.
Go fabric
 
Point yangu haikua mbaya ,ila watu wengine upumbavu mwingi lengo langu ni hili.

Biashara ni risk sana ukifanya jambo ambalo huna uhusiano nalo moja kwa moja. Mfano amesema anataka kufungua duka la vifaa vya ushonaji na ufundi cherehani sasa kama yeye sio fundi au hana taaluma ya ufundi inaweza kumletea shida kucopy na biashara hiyo. Pia amesema anataka kufungua duka la pombe sasa kama yeye mlokole unadhani atajua pombe gani zipo kwenye soko?.
Wewe jamaa ni mtu mjinga mno. Kwa hiyo Bakresa ana elimu ya biashara zake zote? Haya mawazo yako ni ya kimaskini.
 
Point yangu haikua mbaya ,ila watu wengine upumbavu mwingi lengo langu ni hili.

Biashara ni risk sana ukifanya jambo ambalo huna uhusiano nalo moja kwa moja. Mfano amesema anataka kufungua duka la vifaa vya ushonaji na ufundi cherehani sasa kama yeye sio fundi au hana taaluma ya ufundi inaweza kumletea shida kucopy na biashara hiyo. Pia amesema anataka kufungua duka la pombe sasa kama yeye mlokole unadhani atajua pombe gani zipo kwenye soko?.
Nimekuelewa sana nadhani ulivyoanza hivyo ndo imekuwa shida kidogo
Lakin kwenye biashara kuna teamwork kama kitu huna taaluma nacho basi teamwork yako hakikika inaweza kukupelekea ukafanikisha

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom