Nina ideas mbili za biashara nataka nianze na moja. Tafadhali nishaurini

Nakushukuru sana Dada Jane. Huu ushauri ninaubeba jumla. Hapana mimi ni ME.. hiyo ID yangu ipo tu kimkakati.
 
Madini mazuri Sana ..umenikosha Sana hapo more than pombe more than pombe ......
 
Elimu inaingiaje kwenye biashara mkuu
Embu nieleweshe mpendwa wangu
Point yangu haikua mbaya ,ila watu wengine upumbavu mwingi lengo langu ni hili.

Biashara ni risk sana ukifanya jambo ambalo huna uhusiano nalo moja kwa moja. Mfano amesema anataka kufungua duka la vifaa vya ushonaji na ufundi cherehani sasa kama yeye sio fundi au hana taaluma ya ufundi inaweza kumletea shida kucopy na biashara hiyo. Pia amesema anataka kufungua duka la pombe sasa kama yeye mlokole unadhani atajua pombe gani zipo kwenye soko?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…