Nina imani kubwa sana kuwa PROGRAMMING itakuja kunilipa ndo mana nimetumia Nguvu kubwa sana

mwalimu_wa_IT

Member
Joined
Nov 5, 2024
Posts
93
Reaction score
165
Kama kawaida hope mko poa
Mimi napenda sana programming na nina baadhi ya projects nimesha zi develop
Za desktop, mobile, na web based systems.
Nimesoma chuo ila nilikua based on networking zaidi ila badae nikabased na Programming.

Natamani niweke github yangu hapa ila sitaki kufahamika ila ukitaka nicheki inbox

Mimi nafahamu Languages nyingi mno pamoja na pia nina pending na completed projects ambazo nikipata mda huwa naziendeleza maana mimi nimeajiriwa.

Languages ninazozifahamu
1. Java
2. Typescript
3. Php
4. Python
5. Javascript
6. Dart

2, 5 3 na 1 nazifanya kwa usahihi mkubwa na weledi.

Framework za web dev
1. React +redux
2. Vue

Mobile dev
1. React native
2. Flutter Dart

Backend
1. Springboot maven
2. Node js
3. Laravel

Hizi zote na zitumia kulingana na recommended ya mteja

Hitimisho napenda sana Kutumia node na Typescript

Pia natoa Darasa kwa ambaye anapenda Programming

coding for life

Noted hizi ni technology ninazozitumia mara kwa mara.
 
boss naona kama unakuwa multipurpose sana hii itakufanya uishie kufanya projects ndogondogo tu za kusogeza siku na kuingiza mkono kinywani..

yaani uwe mtaalamu wa web apps, hapo hapo desktop apps na mobile apps.. impossible labda niambie wew ni mwalimu mzuri wa programming nitakuelewa.

"mimi nafahamu language nyingi mno".

Ila kwakuwa ni mwalimu hapo nakubali
 
Kwa sasa hivi nafanya sana mobile na desktop... zaidi
 
Focus on a niche!....programming languages ni nyingi mno ila wanaofanikiwa ni wale wanaoamua kuchukua njia Moja na kujenga projects......data science & algorithms,web & app development or ML & AI.
Unachotakiwa ni kujenga uwezo wa kutoa Mchango maalumu kwenye project kubwa za development tutakazo Shirika kama team member iwe wewe ndio innovator ama collaborator.
Coding kama Ajira Kwa Afrika' ni ndiyo nyeusi sana...inahitaji kuleta solution Kwa skill Yako.
Kujua lugha nyingi hakukufanyi uwe coder ama programmer Bora ni tafsiri kuwa bado hujajua unataka Nini katika ulimwengu wa programming ila kama lengo ni kuwa mwalimu hapo sawa
 
Language ipi ni bora zaidi kwa uwelewa wako
 
Hakuna lugha "Bora" kuliko nyingine ila Kuna lugha "Muhimu" kuliko nyingine kulingana na unachotaka kufanya kama programmer.
My point is ,amua kwanza unataka kuwa "Data scientist ", "Web developer" ama "Machine & AI expert"
Unapokutana na Mtu anakwambia anaweza Ku code Kwa lugha nyingi huwa ni matokeo ya kutokujua kwanini ameamua kuwa programmer (Maybe if you want to become a "coder").
In the first place tuna poanza safari ya Kujifunza programming huwa tuna amini kujua Kila lugha maarufu Kuna kufanya uwe competent but the truth is ,hakuna project yoyote kubwa duniani iliyofanywa na programmer mmoja!.

The fact is "Not every coder is programmer!!!".Programmers are driven to bring ideas into interactive programs and coders of course ,can be hired or associated to write modules in completing programs".....some people may not understand me I know!.
Focus kuwa programmer.Identify vision ya project Yako Iko wapi hasa .Kama ni kutengeneza mifumo ya Malipo ama embedded systems ama websites or apps innovations then wewe kuwa Bora kwenye eneo Hilo la interest Yako ili uweze kuongoza team wakati wa development.Katika maneno ambayo Utakuwa sio so skilled (maybe API's ama UI/UX designing) let others come as coders!

Hapa ni ufupi wa mapendekezo ya lugha kulingana na niche but to be HONEST ,I find python the easiest ,multipurpose and future language of all times.

1. Data Science:
Python ni bora kwa sababu ina maktaba nyingi kama Pandas na Scikit-learn zinazosaidia katika uchambuzi wa data na machine learning. R pia ni chaguo zuri kwa uchambuzi wa takwimu.

2. Web Development:
JavaScript ni muhimu kwa frontend na backend development (kwa kutumia Node.js). Python pia ni nzuri kwa backend kwa kutumia frameworks kama Django na Flask.

3. Machine Learning & AI:
Python inaongoza kwa sababu ya maktaba zake kama TensorFlow na PyTorch zinazosaidia katika kujenga mifano ya machine learning.

Generally,nadhani Python ni bora kwa Data Science, Machine Learning, na AI, wakati JavaScript ni muhimu kwa Web Development.
 
Asante., mimi ningependa kuanza na web development kwakua naona ndio nyepesi kati ya hizo ulizozitaja na umesema Javascript ni muhimu kwa web development, je naanzaje kujifunza? Nitumie app gani au channel ipi ya YouTube kupata mafunzo pia nataka nitumie chatgpt au DeepSeek inisaidie kujifunza, ningependa kujua applications na materials zote ambazo zitahitajika katika kujifunza kwangu
 
Back
Top Bottom