Nina imani kubwa sana kuwa PROGRAMMING itakuja kunilipa ndo mana nimetumia Nguvu kubwa sana

Jifunze technology na namna gani, zinaweza kutumika kusolve problems.

Shida nyingi hazitokani na poor programming, zinatokana na poor problem solving skills na uwezo mdogo wa kuelewa technology
 
Language ipi ni bora zaidi kwa uwelewa wako
Hakuna lugha "Bora" kuliko nyingine ila Kuna lugha "Muhimu" kuliko nyingine kulingana na unachotaka kufanya kama programmer.
My point is ,amua kwanza unataka kuwa "Data scientist ", "Web developer" ama "Machine & AI expert"
Unapokutana na Mtu anakwambia anaweza Ku code Kwa lugha nyingi huwa ni matokeo ya kutokujua kwanini ameamua kuwa programmer (Maybe if you want to become a "coder").
In the first place tuna poanza safari ya Kujifunza programming huwa tuna amini kujua Kila lugha maarufu Kuna kufanya uwe competent but the truth is ,hakuna project yoyote kubwa duniani iliyofanywa na programmer mmoja!.

The fact is "Not every coder is programmer!!!".Programmers are driven to bring ideas into interactive programs and coders of course ,can be hired or associated to write modules in completing programs".....some people may not understand me I know!.
Focus kuwa programmer.Identify vision ya project Yako Iko wapi hasa .Kama ni kutengeneza mifumo ya Malipo ama embedded systems ama websites or apps innovations then wewe kuwa Bora kwenye eneo Hilo la interest Yako ili uweze kuongoza team wakati wa development.Katika maneno ambayo Utakuwa sio so skilled (maybe API's ama UI/UX designing) let others come as coders!

Hapa ni ufupi wa mapendekezo ya lugha kulingana na niche but to be HONEST ,I find python the easiest ,multipurpose and future language of all times.

1. Data Science:
Python ni bora kwa sababu ina maktaba nyingi kama Pandas na Scikit-learn zinazosaidia katika uchambuzi wa data na machine learning. R pia ni chaguo zuri kwa uchambuzi wa takwimu.

2. Web Development:
JavaScript ni muhimu kwa frontend na backend development (kwa kutumia Node.js). Python pia ni nzuri kwa backend kwa kutumia frameworks kama Django na Flask.

3. Machine Learning & AI:
Python inaongoza kwa sababu ya maktaba zake kama TensorFlow na PyTorch zinazosaidia katika kujenga mifano ya machine learning.

Generally,nadhani Python ni bora kwa Data Science, Machine Learning, na AI, wakati JavaScript ni muhimu kwa Web D
evelopment.
Asante., mimi ningependa kuanza na web development kwakua naona ndio nyepesi kati ya hizo ulizozitaja na umesema Javascript ni muhimu kwa web development, je naanzaje kujifunza? Nitumie app gani au channel ipi ya YouTube kupata mafunzo pia nataka nitumie chatgpt au DeepSeek inisaidie kujifunza, ningependa kujua applications na materials zote ambazo zitahitajika katika kujifunza kwangu
Ushauri wangu.
Nachokijua Mimi programmer wengi wa bongo ni "web developers" Kwa kuwa ndilo eneo linalotumika sana kutengeneza front end .It's good idea but ukweli ni kwamba hakuna lugha Yoyote ya kumpyuta ambayo ni NGUMU!.Mara nyingi wanaofanya watu waogope programming ni watu ambao hata programming hawafanyi .....wakiona code kwenye screen wanaogopa !

Binafsi nakushauri utumie njia ifuatayo Kujifunza lugha Yoyote :
1: Usipoteze Muda wako kwenda Campus ama chuo kusoma CS ila kama ulipitia huko tayari ni jambo Bora coz una basics.
2.Tumia website za lugha husika Kujifunza basics .Lugha nyingi kama python ni open source projects so kwenye website zao Kuna full course na article nyingi za video .
3: Tafuta YouTube channels zinazoelezea lugha unayoitaka na nasahauri u download video nyingi kadiri utakavyoweza kutoka Kwa creators tofauti Kwa Kila aspect ya somo ili ukifunze perspective tofauti kutoka Kwa Kila creator based on the same topic pia,
4.Ili kulelewa vizuri ,tafuta tutorial za YouTube za kiswahili.Yupo jamaa anaitwa "MOHAMMED HAFIDHI" YouTube ana collection nzuri sana za mafunzo ya python na lugha nyingine .....huyu jamaa ni zaidi ya mwalimu!!!!
Pia yupo mbongo mwenzetu wa kuitwa NK huko YouTube pia ana mafunzo mazuri sana.
5.Tumia AI ili Kupata ufafanuzi wa kina itakufanya uelewe Kwa kina na haraka zaidi.
6 .Bila kusahau,soma cos ya CS50X Ili Kupata uelewa wa Msingi kuhusu computer science .Ni program ya Bure inayotolewa na HARVARD UNIVERSITY EXTENSION SCHOOL kwenye website ya EdX ama download video zao YOUTUBE(ni ndefu kama masaa 24 long...but that's good for a serious learner).
 
Hakuna lugha "Bora" kuliko nyingine ila Kuna lugha "Muhimu" kuliko nyingine kulingana na unachotaka kufanya kama programmer.
My point is ,amua kwanza unataka kuwa "Data scientist ", "Web developer" ama "Machine & AI expert"
Unapokutana na Mtu anakwambia anaweza Ku code Kwa lugha nyingi huwa ni matokeo ya kutokujua kwanini ameamua kuwa programmer (Maybe if you want to become a "coder").
In the first place tuna poanza safari ya Kujifunza programming huwa tuna amini kujua Kila lugha maarufu Kuna kufanya uwe competent but the truth is ,hakuna project yoyote kubwa duniani iliyofanywa na programmer mmoja!.

The fact is "Not every coder is programmer!!!".Programmers are driven to bring ideas into interactive programs and coders of course ,can be hired or associated to write modules in completing programs".....some people may not understand me I know!.
Focus kuwa programmer.Identify vision ya project Yako Iko wapi hasa .Kama ni kutengeneza mifumo ya Malipo ama embedded systems ama websites or apps innovations then wewe kuwa Bora kwenye eneo Hilo la interest Yako ili uweze kuongoza team wakati wa development.Katika maneno ambayo Utakuwa sio so skilled (maybe API's ama UI/UX designing) let others come as coders!

Hapa ni ufupi wa mapendekezo ya lugha kulingana na niche but to be HONEST ,I find python the easiest ,multipurpose and future language of all times.

1. Data Science:
Python ni bora kwa sababu ina maktaba nyingi kama Pandas na Scikit-learn zinazosaidia katika uchambuzi wa data na machine learning. R pia ni chaguo zuri kwa uchambuzi wa takwimu.

2. Web Development:
JavaScript ni muhimu kwa frontend na backend development (kwa kutumia Node.js). Python pia ni nzuri kwa backend kwa kutumia frameworks kama Django na Flask.

3. Machine Learning & AI:
Python inaongoza kwa sababu ya maktaba zake kama TensorFlow na PyTorch zinazosaidia katika kujenga mifano ya machine learning.

Generally,nadhani Python ni bora kwa Data Science, Machine Learning, na AI, wakati JavaScript ni muhimu kwa Web D
evelopment.

Ushauri wangu.
Nachokijua Mimi programmer wengi wa bongo ni "web developers" Kwa kuwa ndilo eneo linalotumika sana kutengeneza front end .It's good idea but ukweli ni kwamba hakuna lugha Yoyote ya kumpyuta ambayo ni NGUMU!.Mara nyingi wanaofanya watu waogope programming ni watu ambao hata programming hawafanyi .....wakiona code kwenye screen wanaogopa !

Binafsi nakushauri utumie njia ifuatayo Kujifunza lugha Yoyote :
1: Usipoteze Muda wako kwenda Campus ama chuo kusoma CS ila kama ulipitia huko tayari ni jambo Bora coz una basics.
2.Tumia website za lugha husika Kujifunza basics .Lugha nyingi kama python ni open source projects so kwenye website zao Kuna full course na article nyingi za video .
3: Tafuta YouTube channels zinazoelezea lugha unayoitaka na nasahauri u download video nyingi kadiri utakavyoweza kutoka Kwa creators tofauti Kwa Kila aspect ya somo ili ukifunze perspective tofauti kutoka Kwa Kila creator based on the same topic pia,
4.Ili kulelewa vizuri ,tafuta tutorial za YouTube za kiswahili.Yupo jamaa anaitwa "MOHAMMED HAFIDHI" YouTube ana collection nzuri sana za mafunzo ya python na lugha nyingine .....huyu jamaa ni zaidi ya mwalimu!!!!
Pia yupo mbongo mwenzetu wa kuitwa NK huko YouTube pia ana mafunzo mazuri sana.
5.Tumia AI ili Kupata ufafanuzi wa kina itakufanya uelewe Kwa kina na haraka zaidi.
6 .Bila kusahau,soma cos ya CS50X Ili Kupata uelewa wa Msingi kuhusu computer science .Ni program ya Bure inayotolewa na HARVARD UNIVERSITY EXTENSION SCHOOL kwenye website ya EdX ama download video zao YOUTUBE(ni ndefu kama masaa 24 long...but that's good for a serious learner).
Sawa bro unajua haya mambo ndio kwanza naanza kujifunza naomba unipe muongozo wa kipi hasa cha kufanya kwenye swala zima la coding iwe web development n. K ambayo inauhakika zaidi wa kuniingizia kipato, au nje ya mada unatoa je na ushauri kwa mbu ambae anataka aanze kujifunza forex trading ingawa sipo interested sana
 
Back
Top Bottom