Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 4,418
- 4,031
Mwl. Nyerere aliweka dira pevu kwa kutenganisha majukumu ya viongozi watunga sera na watekeleza sera. Leo hii, watekeleza sera ndio viongozi na watunga sera ndo watekelezaji!!!.
Unamchukua form four failure unampa uongozi wa Mkoa, aongoze wenye Div one nk kufikia malengo ya Dira ya Maendeleo 2050. Ni hapa tuu Tz na maeneo fulani hivi haya mambo yapo.
Unasomesha watu Chuo Kikuu kwa gharama kubwa kwa kuwalipa maprofesa,miundombinu nk,at the end of the day huna mahala ulipopangilia pa kuwatumia. Then, unawadharau kuwa hawawezi chochote wakasomee vya walioshindwa kumudu kiakili kuingia Vyuo Vikuu. Inahitajika mjadala mpana sana na siyo tamko tuu.