Nina iPhone 5 nashindwa ku-download WhatsApp nk

Nina iPhone 5 nashindwa ku-download WhatsApp nk

Hivi iphone ndio generation za Ubuntu??

Ok SAWA kama ndivyo Kuna tofauti Gabi kati ya Linux na Ubuntu
iPhone zinarun iOS haina uhusiano na ulichokitaja hapo.
Ubuntu pia inatumia linix kernel
 
Wakuu msaada hapa. Nimepewa simu na rafiki Ang nashindwa kufanya mambo kiwa mepesi simu yenyewe ni hii.View attachment 2620410

Msaada wenu

Whatsapp unaweza kuweka mpaka kwenye iphone 5s kupanda chakufanya tafuta iclound a/c ya mtu aliewai download whatsapp kwenye iphone ingine log in kwenye appstore yako then search whatsapp download itakubali vizuri tu
 
Iphone 5 na Iphone 5s zinatumia chip tofauti

Nadhani Chip ya iphone 5 haisapoti wasap ila ya iphone 5s bado inajigongoja
 
Hivi iphone ndio generation za Ubuntu??

Ok SAWA kama ndivyo Kuna tofauti Gabi kati ya Linux na Ubuntu
Out of service.... hamna uhusiano kati ya ios na ubuntu... ios ni mfumo wa iphone na Ubuntu ni Operation za computer hambayo haiwezi ku run kwenye simu hvyo hvyo linux
 
Back
Top Bottom