Nina iPhone 5 nashindwa ku-download WhatsApp nk

Nina iPhone 5 nashindwa ku-download WhatsApp nk

Bora nitumie itel kuliko iphone 5 niushamba uliokithiri
Hata 8 siwezi

Ubaya wa iPhone zinajulikana kirahisi tu unajua hii ya kitambo tofauti na Nokia yangu hapa Kama sio mfatiliaji huwezi just ya mwaka gani Nokia 7.2 na 5.4 ninaweza danganya na wasijue natumia simu ya sh ngap na mwaka gani


Sasa wenzake wako iphne 14 yeye hata kwenye 6 hajafika 😂

Bora anunue Tecno f1 ata enjoy
 
Kipindi Cha Nokia lumia window 7 ilikosa wasap mapema Sana
Alijimix siku moja akafuta ndo mazima

Sisi tuliokuwa na windows 8.1 tuliendelea peta

Sio whatsp tuu hata twiter haitaki mi mwenyewe ninayo naitumia ila whatsap ipo na fb na inst ila kuna jamaa aliniambia siku nikonichanganya nifute app mojawapo nikijaipalua ndio niisahau
 
Back
Top Bottom